SureJamaa was a great thinker.
Ila siku hizi kabadilika. Pengine anabadilika kulingana na hadhira yake inavyobadilika.
JF ya wakati huo ilikuwa njema mno. Siku hizi ni story za mbususu na style zake. Na yeye kajaa, anaenda na mada zake za pombe na mengineyo.
Ni lini nilikwambia Nina akili๐Umepoteza akili?
HamkosekaniMultiple IDs at work
Hamkosekani
Nisingekuta komenti ya aina hii nisingeamini kama nipo JfMultiple IDs at work
Kuna siku nilitenga muda wangu kufuatilia nyuzi za jukwaa la intelligence , Siasa , Historia na MMU miaka ya 2010-19 nilifaidika na kusikitika kwa wakati mmoja .Much appreciation to u brother, nyuzi zako nyingi zimebeba mambo makubwa na mazito ambayo hauwezi kuyapata sehemu nyingine yoyote ile zaidi ya hapa JF.
Nilikua nasoma huku natafakari huyu jamaa ni nani haswa maana upeo wake ni wa juu sana.
Ingekuwa ni kipindi hichi unadondosha mawe juu ya mawe dah members wangesema unatumia AKILI MNEMBA.
Mshana Jr much respect bro kutwa nzima leo nilikuwa napitia nyuzi zako.
Hatari sanaKuna siku nilitenga muda wangu kufuatilia nyuzi za jukwaa la intelligence , Siasa , Historia na MMU miaka ya 2010-19 nilifaidika na kusikitika kwa wakati mmoja .
Watu hawaComment upuuzi ni full nondoz , kuanzia Uzi mpaka wachangiaji , ila njoo sasa utakuta personal attack mara mambo ya Kobaz nk mpaka Uzi unapoteza ladha .
Shukrani sana mkuu wangu Red black napokea kwa unyenyekevu mkuuMuch appreciation to u brother, nyuzi zako nyingi zimebeba mambo makubwa na mazito ambayo hauwezi kuyapata sehemu nyingine yoyote ile zaidi ya hapa JF.
Nilikua nasoma huku natafakari huyu jamaa ni nani haswa maana upeo wake ni wa juu sana.
Ingekuwa ni kipindi hichi unadondosha mawe juu ya mawe dah members wangesema unatumia AKILI MNEMBA.
Mshana Jr much respect bro kutwa nzima leo nilikuwa napitia nyuzi zako.
Nilifanya part yangu mkuu kwa wakati uliokubalika na ulio sahihi.. Sasa hivi mimi ni mstaafu hata akili nayo imechoka.. Na nikjaribu kuandika kama zamani wanasema ni AI๐๐๐Jamaa was a great thinker.