Nakufaham Nifah ulivyo mpenzi wa Gunners. Najuwa utafurahi sana Tottenham ikishinda leo usiku na Arsenal kushinda jumapili na kuwa mabingwa. Furaha yako Nifah ni furaha yangu.Yani hadi naogopa kuangalia hiyo mechi, I hate the feeling of disappointment.
Hakuna wa kuizuia Mancity kwenye hatua hii.Yani hadi naogopa kuangalia hiyo mechi, I hate the feeling of disappointment.
Oyaa dogo mgerasi wewe kutwa jamvin. Hao mbusii malishoni umemuachia nani?Toka hapa tokea umetutabiria Liverpool ubingwa tukaanza kupoteza points tu.
Mkaldayo wewe ni umbwaaa. Mbussiiiii. Una gundu.
Hahaha GT banaItakua muda huu umeshiba,
Huwezi kua na njaa kisha ukaja kuanzisha uzi wa hivi.
😀😀
Hatuez kua na hatujawah kua na kelele, sisi sio Man u Kunguru nnSpurs ashinde. Sipendi dominance ya timu moja kwa muda mrefu.
Inapunguza msisimko wa ligi. Hili kombe mwaka huu abebe Arsenal.
Japo kelele zitakuwa nyingi mtaani lakini walau City apunguzwe speed.
Hapo uempatia kikweri kweri mkuu.The Stress Challengerr kwenye ubora wako
Siku ile ulisema hivihivi matokeo yake tukamkanda mtu 4 Mfwiiiiiiiiiiiii
Man city Bingwa..!🤸
Hapo uempatia kikweri kweri mkuu.
We umbwa natuma mbwa wenzako wakachunge. Nipo bomani nasubiri jioni warudi sisini.Oyaa dogo mgerasi wewe kutwa jamvin. Hao mbusii malishoni umemuachia nani?
Umbwaaa
🤣🤣🤣Senior JF local and international sports analyst and correspondent and a London based Chatham house Think-tank.
Umeongea points nzuri Sana mkuu.City kudrop points at this crucial moment Ni Jambo ambalo haliwezekani kabisa.Spurz kushinda hiyo game ni miujiza ya mpira tu, but seriously they are not good enough at the moment, while city miezi hii huwa wanawasha moto sana, nina wasiwasi game inaweza kwisha 1st half kwa city kushinda.
Arsenal kukubali kufungwa na Aston Villa naona lilikuwa kosa kubwa sana litakalowagharimu, wenye experience kama Man City wanajua kipindi hiki sio cha kupoteza wala ku draw game.
Hapo ndipo hushinda hata game kumi mfululizo wanachukua ubingwa kwa tofauti ya pointi moja, tena game ya mwisho wakitoka nyuma goli 0-2 wanashinda 3-2 kuanzia dakika ya 75!. Remember Rodrii..... Ilkay Gundogan....
Wale jamaa ni wanyama sana, japo nawaombea Arsenal wachukue ubingwa this time, kwa performance ya aina hii waliyonayo sasa halafu bado watoke mikono mitupu...
Guardiola sio mtu. Inaweza tokea City akaharibu leo kisha Arsenal akaharibu game ya mwisho... football nayo ni pasua kichwa sana.!!
Arsenal haiwezi kuwa bingwa wa EPL. Subirini next 30 years.Yani hadi naogopa kuangalia hiyo mechi, I hate the feeling of disappointment.
Hata Mimi naogopa Sana coz hii City ni ya Moto Sana.
Kwenye EPL timu pekee ambayo Ni threat kwa Arsenal is non other than Manchester City,, timu zingine zote Ni miyeyusho tu.Arsenal haiwezi kuwa bingwa wa EPL. Subirini next 30 years.
Na pale Saka anaondoka, Rice, Odegaard. Mnarudi kuwa mediocres