Leo tufanye kama tunaishi majirani nyumba za kupanga

Lupamba's grandson

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2015
Posts
1,232
Reaction score
1,196
Nimejaribu kuwaza hapa vitu, vituko nilivyokutana navyo nyumba ya kupanga nikajikuta nacheka mwenyewe.

Sasa basi naamini kila mtu ana vitu na changamoto na vituko anakutana navyo ,so tunaanza kushuka coment na kujibizana kama watu tuishio nyumba za kupanga tufanye wapangaji tuko wengi. Kwahyo fanya kama tunaishi hizo nyumba tukiwa majirani.
Mama mwenye nyumba ni Shunie
Nanza mimi

Jamani majirani nauliza nani Kachukua kopo la chooni, silioni humu…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…