Leo tufanye kama tunaishi majirani nyumba za kupanga

Leo tufanye kama tunaishi majirani nyumba za kupanga

Nimejaribu kuwaza hapa vitu, vituko nilivyokutana navyo nyumba ya kupanga nikajikuta nacheka mwenyewe.

Sasa basi naamini kila mtu ana vitu na changamoto na vituko anakutana navyo ,so tunaanza kushuka coment na kujibizana kama watu tuishio nyumba za kupanga tufanye wapangaji tuko wengi. Kwahyo fanya kama tunaishi hizo nyumba tukiwa majirani.
Mama mwenye nyumba ni Shunie
Nanza mimi


Jamani majirani nauliza nani Kachukua kopo la chooni, silioni humu…


… .
Una utani na dada yangu Shunie yaani badala ya kumsemea mazuri kama alivyo mzuri unamuongelea vichambo
 
Nani amenunua luku ya mia 3 mta haribu mita.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Ww nawe acha ushamba luku ya miatatu haiaribu mita

Mm mzoefu wa hayo mambo nafanya kazi tanesco siunaona hili buti nilipewa tanesco
20-40-58-images.jpg
 
Back
Top Bottom