Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@Extrovert Kilawo Panchito shylock Expected Value na wenzenu mikataba yenu ikiisha siwataki hapa kwangu
hivi tukikuita mnoko utasemaje?
Wee hamnitishi yule jirani fatuma ni rafiki yangu pia! Majirani gani mna gubu kama nimewaibia mabwana zenu halooo😏Wewe tushakuzoea
Sababu ya kidomo domo chako hakuna hata mpangaji mmoja unayeongea nae tofauti na sisi
Na sisi tukiamua kukufungia vioo utaishi kama bubu humu ndani
Da'vinci huyo ndio zakejamani choo kimeziba muwe mnamwaga maji ya kutosha, [emoji28]
na we dada mchoyo kinoma kisa cha kuninyima ubwabwa?Wee hamnitishi yule jirani fatuma ni rafiki yangu pia! Majirani gani mna gubu kama nimewaibia mabwana zenu halooo😏
Afu we kaka nakuvumilia siku zote! Hiyo tabia ya kugongea misosi wewe utapika lini? Kila siku ukaribishwe wewe tu😏😏na we dada mchoyo kinoma kisa cha kuninyima ubwabwa?
@financial services huyo ndo anatupamo pedi!jamani choo kimeziba muwe mnamwaga maji ya kutosha, [emoji28]
we dada yaani mimi kula masinia matatu tu ya ubwabwa ndo umeona nakula sana sio😡😡😡Afu we kaka nakuvumilia siku zote! Hiyo tabia ya kugongea misosi wewe utapika lini? Kila siku ukaribishwe wewe tu😏😏
Nasikia mama mwenye nyumba alimuua mume wake ili arithi mali zake ndiyo maana mnaona hana mume
kwani umeskia mimi ni manji?"Jirani niazime gesi yako nipikie mara moja yangu imeisha...."
Pasi aliichukua financial services bado hajarudishaDada Joanah naomba niazimie pasi kwa dada yako. Kuna nguo imejikunja nataka niinyoshe.
😂😂😂Wee hamnitishi yule jirani fatuma ni rafiki yangu pia! Majirani gani mna gubu kama nimewaibia mabwana zenu halooo😏
Pasi aliichukua financial services bado hajarudisha