Leo tufanye kama tunaishi majirani nyumba za kupanga

Leo tufanye kama tunaishi majirani nyumba za kupanga

Nyie wapangaji wa kiume mbona mnabadilisha sana wanawake

Ndio maana huwa sipendi wapangaji ambao hawana familia hapa kwangu kwa nini usitafute mwanamke mmoja ukatulia nae

Mkataba wenu kila mmoja ukiisha siwahitaji hapa kwangu
Mama house mbona hvyo ,au sababu bint zako awajaolewa wako wako tu ,hahahaha
 
Hawa madada wanapiga stori zao karibu na choo, na mimi nataka kwenda kujisaidia haja kubwa. Siendi maana watakuwa wanaisikilizia
Hahahhaja we jamaa ukitaka kuwatoa ngoja nikuonyeshe namna ,waambie tu mama mwenye nyumba anakuja kudai kodi uoni izo mbio watakuacha ukajisaidie kwa uhuru jaribu iyo mbinu
 
Hapo kwa wanangu hapo tutafikishana pabaya
Sasa mama utawaoa wewe, ila mama anavyoonekana ni wale wamama wakujichubua afu bwana ake alisha danjaga kitambo afu mama wakuweka kalikiti afu ni mama wa dogo dogo hahhaa anavizia wapangaji wadogo wadogo
 
Narudisha ya miezi iliyobaki tu banda la mbwa hili ndio mnalolala na kubadilisha wanawake zenu
Mama punguza sauti kuna mtoto anaumwa huku alafu mama ungevaa basi hata kitenge kuna watoto hapa unagombana na huyo ndio ukamvalie bukta hapana bana kuna watoto hapa
 
Usitutishe tutahama kwanza nyumba haina dali, taa moja mnatumia wawili,hamna tiles umeme wenyew wakuungaunga. Na tukiondoka hilo fridge utauza maana hununuagi umeme. Tunakuvumilia tu.
Kah Shunie ana kazi we mpangaji kabila gani afu inaonekana umeanza maisha juzi ,au we muhaya
 
Back
Top Bottom