Leo tujikumbushe na matukio ya popobawa yalitotikisa

Daaah noma saana
 
Nimecheka mpaka basi. Nilikuwa nikija Dar nafikia Magomeni usalama. Pale nyuma kulikuwa na kota. Wee wanasema kulikuwa na popo bawa hasa kama kuna misiba na shughuli. Siku hizi nikiangalia ule wimbo Diamond na wenzie wa Zilipendwa nakumbuka mbaliii. Siyo hao tu hata kibisa na mambo mengi ya enzi hizo. Hivi siyo late 80s hivi? Maana mimi nilikuwa natoka bara kuja kikazi Dar enzi hizo.
 
Unapigwa matakoni umejikausha tu Aisee we ulikua unataka kupigwa shoo.
 
Je hii ya 2007 zilivuma habari za popobawa sijui kavamia Magomeni na kuna wanawake walisema wamepitiwa tena walihojiwa na marehemu shekhe Yahya chanel 10 nao pia walikuwa wazushi?
Acha Tuu Hao Ndo Walitufanya Tuamini Kua ni Kweli
 
Aisee Ni Noooma Saaaana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…