Leo tujikumbushe na matukio ya popobawa yalitotikisa

Leo tujikumbushe na matukio ya popobawa yalitotikisa

Nakumbuka kipindi niko shule ya Msingi Tanga enzi hzo siku moja kabla tulianza kusikia tetesi za nyonya damu so kesho yake tukaenda shule fresh.
Sasa bahat mbaya kulikua na shule mbili ambazo ziko karbu karbu sasa shule ya wenzetu ilikua karbu na barabara, sasa sjui waliona nin kule wkaanza kutoka mbio sie huku baada ya kuona hvyo tukaanza kukimbilia mtaani so watu wakawa wanashangaa hawa jamaa nin kimewakuta.
Baada ya muda ndio tunaanza kusakwa mtaani na walimu maana hakuna mwanafunzi aliebaki shulen
Daaah noma saana
 
Nimecheka mpaka basi. Nilikuwa nikija Dar nafikia Magomeni usalama. Pale nyuma kulikuwa na kota. Wee wanasema kulikuwa na popo bawa hasa kama kuna misiba na shughuli. Siku hizi nikiangalia ule wimbo Diamond na wenzie wa Zilipendwa nakumbuka mbaliii. Siyo hao tu hata kibisa na mambo mengi ya enzi hizo. Hivi siyo late 80s hivi? Maana mimi nilikuwa natoka bara kuja kikazi Dar enzi hizo.
 
Je hii ya 2007 zilivuma habari za popobawa sijui kavamia Magomeni na kuna wanawake walisema wamepitiwa tena walihojiwa na marehemu shekhe Yahya chanel 10 nao pia walikuwa wazushi?
Acha Tuu Hao Ndo Walitufanya Tuamini Kua ni Kweli
 
Nimecheka mpaka basi. Nilikuwa nikija Dar nafikia Magomeni usalama. Pale nyuma kulikuwa na kota. Wee wanasema kulikuwa na popo bawa hasa kama kuna misiba na shughuli. Siku hizi nikiangalia ule wimbo Diamond na wenzie wa Zilipendwa nakumbuka mbaliii. Siyo hao tu hata kibisa na mambo mengi ya enzi hizo. Hivi siyo late 80s hivi? Maana mimi nilikuwa natoka bara kuja kikazi Dar enzi hizo.
Aisee Ni Noooma Saaaana
 
Back
Top Bottom