Leo tujikumbushe na matukio ya popobawa yalitotikisa

Je hii ya 2007 zilivuma habari za popobawa sijui kavamia Magomeni na kuna wanawake walisema wamepitiwa tena walihojiwa na marehemu shekhe Yahya chanel 10 nao pia walikuwa wazushi?
Shekhe yahaya ..kwa upande nwingine alikuwa ni mpigaji tu ndugu ...wala usijipe shida
 
Habari Wakuu
Leo Nimeona Nikumbushie Enzi Za popobawa Aliyekua Anadaiwa Ni Kiumbe Wa ajabu Anayewaingilia Waru Kinyume Na Maumbilee Mbaya Zaidi Usipotangaza Eti Anakurudia Tena Yaani Ukitaka asije Unakaa Macho Unapiga Makelel Na mnalala kwa Makundii.

Basi Ipo Hivi Nilisikiaga Redion Wakiongelea Huyu Kiumbee Niliogopa Saaana, Mbaya zaidi Walikua Wanadai Anapita Mtaa Kwa mtaaa

Siku Moja Usiku Kuogopa Kuingiliwa Nikavaa Jinzi Zangu Mbili Nikachukua Kisu na Sufuria Ili Likija Napambana Huku Full maombiii Na Kushituka Shituka Usiku.

Siku Nyingine Ilikua Ni uSiku Nilikua naumwa Na Inatakiwa Saa 7 Niamke Ninywe Dawa . Siku Hiyo Kuogopa Kuingiliwa Nikavaa Sket Ya Dada Na Wigii Nikalala Huku naomba Bahat Mbaya Mvua Ilikua Inanyesha Na Radii za Maaana , Nikiwa Nimelala Usiku Saa Saaba Mzee akaja Kuniamshaaa Sasa Kawa ananipigapiga Kweny T.ako Bila Kuongea Kituu Mimi Si Nikajua Enheeee Ndo Kumekucha Sasa popobawa kaja Nilijikausha Huku Nikitokwa na Machozii . Asubuh Naamka Nalia tuuu Wat Wananishangaa Nimevaa Sketii Nikawambia Mm sitaman Tena Kuishii Popo kanibaka Nikaliaaa Na kuwasimulia Tukio Zima Aiseee Nilichekwa saaana Mzee ndo akanambia ni yeye Alikuja Kuniamshaa.

Mengine muongezee
Hayo waga ni maigizo tu ya CCM wakiona kuna kashfa ya ufisadi ngoja nitaje iyo list ya ujinga wao
1.Dengue fever .walikuwa wanaugua wasanii Tu
2.dr shika sijui sahivi yuko wapi?
3.Nabii Tito mwenye kujua alipoa asaivi aniambie
4.Babu wa loliondo pia ilikuwa na trick

Yapo mengi Sana bila kusahau sahivi tunachezeshwa ngoma ya piere Liquid ambae hajulikani hata alikotokea na sizani kama anandugu dunia hii[emoji23]
 
duuuh Ni Noooma.....Mara Ya Mwisho nabii tito alitoroka Milembee
 
Habari Wakuu
Leo Nimeona Nikumbushie Enzi Za popobawa Aliyekua Anadaiwa Ni Kiumbe Wa ajabu Anayewaingilia Waru Kinyume Na Maumbilee Mbaya Zaidi Usipotangaza Eti Anakurudia Tena Yaani Ukitaka asije Unakaa Macho Unapiga Makelel Na mnalala kwa Makundii.

Basi Ipo Hivi Nilisikiaga Redion Wakiongelea Huyu Kiumbee Niliogopa Saaana, Mbaya zaidi Walikua Wanadai Anapita Mtaa Kwa mtaaa

Siku Moja Usiku Kuogopa Kuingiliwa Nikavaa Jinzi Zangu Mbili Nikachukua Kisu na Sufuria Ili Likija Napambana Huku Full maombiii Na Kushituka Shituka Usiku.

Siku Nyingine Ilikua Ni uSiku Nilikua naumwa Na Inatakiwa Saa 7 Niamke Ninywe Dawa . Siku Hiyo Kuogopa Kuingiliwa Nikavaa Sket Ya Dada Na Wigii Nikalala Huku naomba Bahat Mbaya Mvua Ilikua Inanyesha Na Radii za Maaana , Nikiwa Nimelala Usiku Saa Saaba Mzee akaja Kuniamshaaa Sasa Kawa ananipigapiga Kweny T.ako Bila Kuongea Kituu Mimi Si Nikajua Enheeee Ndo Kumekucha Sasa popobawa kaja Nilijikausha Huku Nikitokwa na Machozii . Asubuh Naamka Nalia tuuu Wat Wananishangaa Nimevaa Sketii Nikawambia Mm sitaman Tena Kuishii Popo kanibaka Nikaliaaa Na kuwasimulia Tukio Zima Aiseee Nilichekwa saaana Mzee ndo akanambia ni yeye Alikuja Kuniamshaa.

Mengine muongezee
😂😂😂😂😂😂umejua kunifurahisha mkuu
 
Nakumbuka kipindi niko shule ya Msingi Tanga enzi hzo siku moja kabla tulianza kusikia tetesi za nyonya damu so kesho yake tukaenda shule fresh.
Sasa bahat mbaya kulikua na shule mbili ambazo ziko karbu karbu sasa shule ya wenzetu ilikua karbu na barabara, sasa sjui waliona nin kule wkaanza kutoka mbio sie huku baada ya kuona hvyo tukaanza kukimbilia mtaani so watu wakawa wanashangaa hawa jamaa nin kimewakuta.
Baada ya muda ndio tunaanza kusakwa mtaani na walimu maana hakuna mwanafunzi aliebaki shulen
Darajani na Mkwakwani p.schools??😊
 
Habari Wakuu
Leo Nimeona Nikumbushie Enzi Za popobawa Aliyekua Anadaiwa Ni Kiumbe Wa ajabu Anayewaingilia Waru Kinyume Na Maumbilee Mbaya Zaidi Usipotangaza Eti Anakurudia Tena Yaani Ukitaka asije Unakaa Macho Unapiga Makelel Na mnalala kwa Makundii.

Basi Ipo Hivi Nilisikiaga Redion Wakiongelea Huyu Kiumbee Niliogopa Saaana, Mbaya zaidi Walikua Wanadai Anapita Mtaa Kwa mtaaa

Siku Moja Usiku Kuogopa Kuingiliwa Nikavaa Jinzi Zangu Mbili Nikachukua Kisu na Sufuria Ili Likija Napambana Huku Full maombiii Na Kushituka Shituka Usiku.

Siku Nyingine Ilikua Ni uSiku Nilikua naumwa Na Inatakiwa Saa 7 Niamke Ninywe Dawa . Siku Hiyo Kuogopa Kuingiliwa Nikavaa Sket Ya Dada Na Wigii Nikalala Huku naomba Bahat Mbaya Mvua Ilikua Inanyesha Na Radii za Maaana , Nikiwa Nimelala Usiku Saa Saaba Mzee akaja Kuniamshaaa Sasa Kawa ananipigapiga Kweny T.ako Bila Kuongea Kituu Mimi Si Nikajua Enheeee Ndo Kumekucha Sasa popobawa kaja Nilijikausha Huku Nikitokwa na Machozii . Asubuh Naamka Nalia tuuu Wat Wananishangaa Nimevaa Sketii Nikawambia Mm sitaman Tena Kuishii Popo kanibaka Nikaliaaa Na kuwasimulia Tukio Zima Aiseee Nilichekwa saaana Mzee ndo akanambia ni yeye Alikuja Kuniamshaa.

Mengine muongezee
Hahahahahaha, dah mkuu umenivunja mbavu
 
Nakumbuka Mbagala watu walikuwa wanalala nje ila nikakomaa kucheki TV mpaka asubuhi, ila kufika mida ya saa 8 nikasema hakuna issue za popobawa wacha nikalale ile kulala km dk 5 tu nikasikia kama ndege ametua nje dirishani nikaona isiwe tabu, nikaenda kuwasha tena TV ikagoma kuwaka nikasema leo nimekwisha historia ya kuliwa kiboga inatimia, baada ya kukomaa ikawaka hapo tena sikufunga hata kope mpaka che!
 
Daaaah Noma Saaana
 
Ha ha ha mleta mada umenichekesha kupita kiasi. We jamaa ni muongo asee eti ikabidi nijikaushe kimya huku ninatokwa na machozi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulikuwa na umri gani?

Back
Top Bottom