Leo tujuane mikoa inayoongoza kwa watu wafupi

1. Bolivia (4 ft 11.5 inches)

2. Indonesia (4 ft 11.7
inches)

3. Sri Lanka and The
Philippines (5 ft 1.5
inches)

4. Peru (5 ft 2 inches)

5. India (5 ft 2.2 inches)
 
Kuna hii stori ya vibwengo kwamba ukikutana nacho kinakuuliza umeanza kuniona wapi, ukajibu hapa anakumega.

Ukijibu nimekuona tangu kule anakuachia.
 
Tupe mwendelezo wa topiki hivi kweli watu wafupi aggressive usiseme?
 
Vijeba tuna hasira hapa natamani ungekua pembeni nikuchape makofi kwanini umeniita mfupi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kijeba[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…