Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] unanitafuta ubaya kwa kivuli cha hiphop...Wataje kwa majina kama kweli unafanya hip hop
wapo mixed warefu na wafupiNa watani zako namba moja vipi?
jina lako lina mchanganyiko wa kinyakyusa na kichagaSijui kama kuna mkoa una watu warefu wengi kama mwanza si kwa wanaume wala wanawake na wana asili ya miili mikubwa
kweli mkuumie mwenyewe mfupi kule kwetu msoma wafupi tupo wachache tunajijua kabisa lakini nilipo enda mkoa wa njombe,iringa,mbeya nilishangaa kuona wafupi wengi sana
duuuh hii record hii wanaongoza kwa kuwa na short chasis1. Bolivia (4 ft 11.5 inches)
2. Indonesia (4 ft 11.7
inches)
3. Sri Lanka and The
Philippines (5 ft 1.5
inches)
4. Peru (5 ft 2 inches)
5. India (5 ft 2.2 inches)
wwwe umetokea wapi madam?Asante Mungu mkoa wangu haujatajwa
short chasisNenda kapimwe mkojo. Si bure!
Lindi,Mtwara,mimi naanza na
Morogoro
Iringa
Upareni
jamani hii mikoa ina watu wafupii
Kuwa mfupi ni fedheha?Mi naanza na kwenu namaliza na wewe pia mwone kazi kudharau watu.
Huna jipya
Upareni nako ni mkoa?mimi naanza na
Morogoro
Iringa
Upareni
jamani hii mikoa ina watu wafupii
Cha ajabu hao wanawake wafupi wanataka wanaume warefu.naunga mkono hoja mkuu most of women ni wafupi ata sijui kwa nn
Usikariri mkuu. Utakuwa mfupi ww. Warefu wapo wengi. Mm mwenyew ni mrefuWarefu kwa asilimia kubwa ni Wamasai tu,wengine wote tupa kule