Lagrange
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 2,365
- 2,732
Upareni ni mkoa siku hizi, ????mimi naanza na
Morogoro
Iringa
Upareni
jamani hii mikoa ina watu wafupii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upareni ni mkoa siku hizi, ????mimi naanza na
Morogoro
Iringa
Upareni
jamani hii mikoa ina watu wafupii
Asante Mungu mkoa wangu haujatajwa
Rudi darasani usome jeografia Mr ,maana inaonekana imekaa kushoto kidogoMikoa ya nyanda za juu kusini, Dodoma, Pwani, Morogoro.
Hiyo mikoa watu physique yao ni ndogo sana.
Tuseme sehemu kubwa ya watanzania ni wenye maumbile madogo. Ukiangalia hata wanawake warefu ni wa kufata kwa tochi, karbu 90% ni short chasis.
Mkuu umeniacha hoi[emoji1] [emoji1] [emoji1] kuna tumtu tufupi halafu tuna hasira Kama mbweha
"Upareni" ni mkoa gani?mimi naanza na
Morogoro
Iringa
Upareni
jamani hii mikoa ina watu wafupii
Kigoma Hakuna Watu Wafupi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kigoma
Kigoma Hakuna Watu wafupiMtwara, Lindi, Pwani&Dar Morogoro, Dodoma, Kigoma, Njombe, Ruvuma. Tanga(Wasambaa), Kilimanjaro(Wapare).
Ruvumamimi naanza na
Morogoro
Iringa
Upareni
jamani hii mikoa ina watu wafupii