Leo tujuane mikoa inayoongoza kwa watu wafupi

Leo tujuane mikoa inayoongoza kwa watu wafupi

Mikoa ya nyanda za juu kusini, Dodoma, Pwani, Morogoro.

Hiyo mikoa watu physique yao ni ndogo sana.

Tuseme sehemu kubwa ya watanzania ni wenye maumbile madogo. Ukiangalia hata wanawake warefu ni wa kufata kwa tochi, karbu 90% ni short chasis.
Rudi darasani usome jeografia Mr ,maana inaonekana imekaa kushoto kidogo
 
Mtwara, Lindi, Pwani&Dar Morogoro, Dodoma, Kigoma, Njombe, Ruvuma. Tanga(Wasambaa), Kilimanjaro(Wapare).
 
Watu wafupi bwana
Kipindi hiki cha mvua wakibeba mwavuli unaweza fikiri uyoga untembea..
 
Back
Top Bottom