Leo tukate mzizi wa fitina: Nani mkali kati ya Young D, Young Killer na Dogo Janja?

NANI MKALI?


  • Total voters
    27
  • Poll closed .
[HASHTAG]#bongo[/HASHTAG] bahati mbaya #
 
Young D ndo kubwa lao hapa, dogo ana swagga na style yake peke yake! Msodoki style yake ndo style ya stamina na fiq q, hivyo kwa lugha nyingine tuseme kakopi na kupesti waliomtangulia, tofauti na young d.
 

hao wote role model wao ni dogo janja, washakiri hivyo
 
Mimi kura yangu ni kwa
Young D
Young Daddy
Paka rapper

Nikija kwa young killer anatunga mashairi vizuri ila simkubali tu.

Huyu dogo janja ni mjanja mjanja tu kama jina lake, ndiyo maana alivyotemwa na madee alipotea. Anabebwa sana yaan siku akitemwa jumla naona atarudi ngarenaro.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nimependa uchambuzi wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…