Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
-
- #101
Halafu nilivyogundua humu mnaomkubali janja ni watu kutoka arusha pekee .[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Janja ndio top zaid mazeee
Wewe unatotokea wapu na kura yako ipo kwa nani?Halafu nilivyogundua humu mnaomkubali janja ni watu kutoka arusha pekee .[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi jaji ,sitakiwi kubase upande wowoteWewe unatotokea wapu na kura yako ipo kwa nani?
Basi usionyeshe kuwa na wivu kwa participant anayepata kura nyingi…Mimi jaji ,sitakiwi kubase upande wowote
wala sijaonesha wivu wowote kwa sababu nawakubali hawa madogo wote nashindwa hata kusema nani ni mkali kuliko mwengine.Basi usionyeshe kuwa na wivu kwa participant anayepata kura nyingi…
Ukome kutumia pen ya kijani, unatuumiza macho, ebo!Kimuziki Namkubali Sana Young Daresalama Anabadilika Kutokana Na Mazingira Kwenye Mambo Mengine Sio Mfuatiliaji Sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukome kutumia pen ya kijani, unatuumiza macho, ebo!
Hahahaaa PoleUkome kutumia pen ya kijani, unatuumiza macho, ebo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu si kwa kumpa 30% hiyo baba tamar!!!Mpaka hapa killer ana 55% akifuatiwa na young D 30 % dogo janja 15%
Apo killer ndo boss kanunua magari kajenga ana demu mkali anawasaidia ndugu zake .
Uyo Dogo janja gari alinunuliwa na madee birthday kale kasuzuki swift kama miss tz (kama uliwahi kusikia msitari wa birthday tukutane shell)dogojanja anunue gari kwa music gani ?
Uyo teja teja hata sijuagi anaimba nini uyo
Amani mkuuusitumie nguvu mkuu
nimekiri hapo nilikosea
Young killer yuko vizuri sana kuliko wote
ila bado dogo janja anabadilika mno, which is good
Wakuu leo nataka tumalize ubishi kuhusu hawa vijana machachali wanaosumbua kwenye anga ya muziki kwa kutoa hit songs kila kukicha .
Nataka tumalize ubishi unaondelea kati yao maana kila mmoja kwa wakati wake anatamba kwamba yeye ndio mkali kuliko wenzake waliobakia .
Tumalize ubishi wote kuanzia;
1) Uvaaji wao: Je, unahisi yupi anatupia viwalo vya kijanja zaidi kuliko wengine?
2) Swaga: Yupi mwenye swaga zaidi?
3)Nani kila kukicha anatoa ngoma kali zaidi wengine? Je, ni Young Dar es Salaam A.K.A mzee wa tumezaliwa bongo bahati mbaya au Young Killer A.K.A mzee wa sinaga swaga au Dogo Janja A.K.A mzee wa kidebe?
4) Nani anaongoza kwa kulitawala jukwaa wakiwa kwenye show?
5) Nani anaongoza kwa kipato ikiwemo kulipwa pesa ndefu kwenye show, kumiliki usafiri wa maana n.k.?
6) Nani ana muonekano wa kisuper star zaidi?
View attachment 510569Young Killer Msodoki
View attachment 510570Young Dar es salaam (Paka rapper/paka rasta)
View attachment 510571Dogo janja (Janjaroo)
View attachment 510572
Karibuni mtiririke..
angalia kura dogo janja ana 100% wenzake ziroMpaka hapa killer ana 55% akifuatiwa na young D 30 % dogo janja 15%
janjaroo team baby .hao wauza sura wao wa shilawadu hawamfikii hataJanjarooo!
kura hadi sasa raisi wa arachuga toka unga limited dogo janja anaongozahamasisha kura, mshindi tumtafute tumpe zawadi yake!!