Leo tukate mzizi wa fitina: Nani mkali kati ya Young D, Young Killer na Dogo Janja?

Leo tukate mzizi wa fitina: Nani mkali kati ya Young D, Young Killer na Dogo Janja?

NANI MKALI?


  • Total voters
    27
  • Poll closed .
Nadhani humu kuna wawakilishi wakutosha wa hawa madogo na kulingana na michango waliyotoa members wengi wamejaribu kuonesha mapungufu ya kila mmoja wao nadhani wanapaswa kurekebisha mapungufu waliyoambiwa ili watengeneze kitu kilicho bora zaidi.
 
Basi usionyeshe kuwa na wivu kwa participant anayepata kura nyingi…
wala sijaonesha wivu wowote kwa sababu nawakubali hawa madogo wote nashindwa hata kusema nani ni mkali kuliko mwengine.
 
  • Thanks
Reactions: sab
Acha kuchekesha. Bila kufanya kazi hiyo gari angeipata!? Kwani Madee hana ndugu zake Wa kuwanunulia nagari!? Hivi Birdman anapomzawadia gari Lil Wayne utasema Lil Wayne hana uwezo huo!? Maana unachomaanisha ni kuwa Janjaro haingizi Pesa kwa Tiptop
Apo killer ndo boss kanunua magari kajenga ana demu mkali anawasaidia ndugu zake .

Uyo Dogo janja gari alinunuliwa na madee birthday kale kasuzuki swift kama miss tz (kama uliwahi kusikia msitari wa birthday tukutane shell)dogojanja anunue gari kwa music gani ?

Uyo teja teja hata sijuagi anaimba nini uyo
 
Wakuu leo nataka tumalize ubishi kuhusu hawa vijana machachali wanaosumbua kwenye anga ya muziki kwa kutoa hit songs kila kukicha .

Nataka tumalize ubishi unaondelea kati yao maana kila mmoja kwa wakati wake anatamba kwamba yeye ndio mkali kuliko wenzake waliobakia .

Tumalize ubishi wote kuanzia;

1) Uvaaji wao: Je, unahisi yupi anatupia viwalo vya kijanja zaidi kuliko wengine?

2) Swaga: Yupi mwenye swaga zaidi?

3)Nani kila kukicha anatoa ngoma kali zaidi wengine? Je, ni Young Dar es Salaam A.K.A mzee wa tumezaliwa bongo bahati mbaya au Young Killer A.K.A mzee wa sinaga swaga au Dogo Janja A.K.A mzee wa kidebe?

4) Nani anaongoza kwa kulitawala jukwaa wakiwa kwenye show?

5) Nani anaongoza kwa kipato ikiwemo kulipwa pesa ndefu kwenye show, kumiliki usafiri wa maana n.k.?

6) Nani ana muonekano wa kisuper star zaidi?

View attachment 510569Young Killer Msodoki

View attachment 510570Young Dar es salaam (Paka rapper/paka rasta)

View attachment 510571Dogo janja (Janjaroo)

View attachment 510572

Karibuni mtiririke..

hamasisha kura, mshindi tumtafute tumpe zawadi yake!!
 
Back
Top Bottom