Sasa ndugu kwanini tusisemezane kwanza yanayolithibu taifa kabla ta haya mengine ambayo hata miaka 100 ijayotutakuwa bado hatujachelewa?Leo nimekumbuka nyuma hapo 2005/2006 nakuendelea VIPINDI VYA RFA hakika vilikuwa ni VIPINDI vizuri sana. Nakumbuka kulikuwa na kipindi kinaendeshwa na mwanadada ajulikanae kama Grory Robson mtoto wa mama sabuni, kulikuwa na sindano tatu za moto na Fredwaa, kipindi Cha search Line simkumbuki mtangazaji wake ila alikuwa dada mmoja hivi, jioni unakutana na kipindi Cha mambo mambo eee hatari Sana, sitasahau na Sky Woker, hakika tulipata burudani nzuri sana ya vipindi RFA hakika tutamiss sana Vibe la WATANGAZAJI wa RFA. Karibuni tuflashback wakuu.
Michezo na Izack muyenji wa GambaLeo nimekumbuka nyuma hapo 2005/2006 nakuendelea VIPINDI VYA RFA hakika vilikuwa ni VIPINDI vizuri sana. Nakumbuka kulikuwa na kipindi kinaendeshwa na mwanadada ajulikanae kama Grory Robson mtoto wa mama sabuni, kulikuwa na sindano tatu za moto na Fredwaa, kipindi Cha search Line simkumbuki mtangazaji wake ila alikuwa dada mmoja hivi, jioni unakutana na kipindi Cha mambo mambo eee hatari Sana, sitasahau na Sky Woker, hakika tulipata burudani nzuri sana ya vipindi RFA hakika tutamiss sana Vibe la WATANGAZAJI wa RFA. Karibuni tuflashback wakuu.
Sasa ndugu kwanini tusisemezane kwanza yanayolithibu taifa kabla ta haya mengine ambayo hata miaka 100 ijayotutakuwa bado hatujachelewa?
Safii
Vodacom burudani zaidi.Marehemu Fredwaa ndo alikua na kipindi flan sijui kilikua kinaitwaje kilikua kina fix flan za kuchekesha alafu kuna sauti za watoto wanacheka kichizi yan
Yeah. Ilikuwa saa 2 asubuhi kinaanza na Vodacom kilikuwa nyimbo 3 alikuwa anaziita sindano tatu za moto 🔥Marehemu Fredwaa ndo alikua na kipindi flan sijui kilikua kinaitwaje kilikua kina fix flan za kuchekesha alafu kuna sauti za watoto wanacheka kichizi yan
Nimechomekea mkuuMkuu tupo kwenye majonzi ndio maana tunarefresh Kwa kuwaza hata haya