Revola
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 1,516
- 1,338
- Thread starter
- #21
Hahaha acha kabisa mkuu ulikuwa unajirekodia kitu kinatoka safi kabisaKipindi cha bongfleva kulikuwa kinaitwa show time, ah mimi na Kanda zangu na radio cassate ni kurekodi music , najifungia gheto nachana mistari na nakumbuka demu wangu yule wa kutoka mbeya anatoroka ijumaa iringa girls anakuja maskani namfungia hapo chumbani dingi si maza hawajui