Leo tukumbushane vipindi vya RFA na watangazaji wote miaka hiyo kuanzia 2005 pamoja na watangazaji wa vipindi

Leo tukumbushane vipindi vya RFA na watangazaji wote miaka hiyo kuanzia 2005 pamoja na watangazaji wa vipindi

Mimi nilimiliki radio 2012 nikiwa darasan la Tano, vipindi vyangu pendwa ilikua ni showtime new chapter mtangazaji Renatus kiluvya na badae alikuja sister mmoja hivi anaitwa mwanaunique.
Kipindi kingne Mambo Mambo na rfa mtangazaji aliitwa jumaa balagaza badae alikuja wiliamu bundara na Charles machugu.,.. vipindi vya asubuhi nilikuaga nipo shuleni😀. Ila jumamosi kweny kipindi Cha watoto Bomba na rfa Bomba nilikua sikosi mtangazaji alikua Elika Elias sinyangwe.

Badae viliendelea wakawa wanaibua vipaji vya watoto watangazaji kweny kipindi hicho, Kuna binti mmoja alikua anatangaza hio 2017 nilitaman Sana kuona hata sura yake lkn sikua na smartphone. Jina lake nilishika hatimae nikapata simu 2021 nili mu dm Instagram akajibu kmbe tulikua nae class moja hatimae tulikutana chuo kimoja Hadi Leo tunawasilina sana😀
 
Yeah Baruan Muhuza na jamaa mmoja anaitwa Dickson
Nilikuwa namuomgelea Deokaji Makomba huyo mtangazaji alikuwa ni noma nilikuwa shule ya msingi lakini nilikuwa sibanduki na kiredio changu kusikia habari za michezo.
 
Asubuhi kwenye saa 2 hivi alikuwepo AHMED ALLY na kipindi cha michezo! Aisee huyu jamaa sjui alikuwa anazikusanyaje taarifa za michezo! Unakuta kila mkoa una habari toka huko na kwa kina! ndio maana Azam tv na Simba walimuona.
 
Marehemu Fredwaa ndo alikua na kipindi flan sijui kilikua kinaitwaje kilikua kina fix flan za kuchekesha alafu kuna sauti za watoto wanacheka kichizi yan
Je huu ni uungwana la hasha huu si ungwana, sina hakika kama niko sahihi
 
😅😅😅wewe ndo mdogo wangu, tena sijui wa ngapi kama sio wa nne basi wa sita
We wakati si tunaangalia tangazo la Jambo lotion , kuna jambo kubwa , Jambo ndogo na Jambo katikati alafu kila lotion inataja jina lake huku inakata kiuno ulikua na miaka mingapi? Pengine hata tangazo hukawahi kuliona hilo
 
Umeigilizia wapi hii Lucha nambie ukweli
 
Marehemu Fredwaa ndo alikua na kipindi flan sijui kilikua kinaitwaje kilikua kina fix flan za kuchekesha alafu kuna sauti za watoto wanacheka kichizi yan
Tano bomba za moto
 
Umeigilizia wapi hii Lucha nambie ukweli
Hapo enzi hizo kuna wadada nyumba ya jirani wazazi wao walisafiri wakawa wanakuja kwetu kuniomba nikalale kwao wakiamini watakua salama kisa mi ni mtoto wakiume wakati mi nilikua mdogo kuliko wao na mwizi akija anaweza kuniiba na mimi
 
Najua hii hadithi kuna mtu kakusimulia ili uje ujimwambafai ulivyo mkubwa mkubwa kumbe bwana mdogo tu
 
Back
Top Bottom