makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Miaka yote mimi si mpenzi wa kusikiliza redio, ila kile kipindi cha fredwaa, ilikuwa nikikigumia naenjoy sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sky walker amemrithi Roy Maganga mwaka 2004 kama sikosei.Na Sky Woker alikuwa anatangaza kipindi Gani?
sindano 5 za motoMarehemu Fredwaa ndo alikua na kipindi flan sijui kilikua kinaitwaje kilikua kina fix flan za kuchekesha alafu kuna sauti za watoto wanacheka kichizi yan
Maswali alikuwa ni Ahmed BalazaHapa umegusa roho yangu kabisa. Ni redio yangu pendwa hii tokea miaka mingi.
Vodacom burudani zaidi ndani kukiwa na section ya sindano kali za moto, alitangaza Fred Fidelis kila asubuhi ukitoa wikiend
Sintasahau hichi kilikuwa cha fredrick Bundala sky walker. Ni matukio ya kusisimua sana.
Maswali na majibu kila jumanne usiku sikumbuki mtangazaji.
Seachline kipindi cha kutafutana
Mind your language
Watoto bomba rfa bomba
Indo style, Prince Baina Kamukulu jumapili usiku.
Usiku wa mahaba na mtoto wa mama sabuni.
Je huu ni uungwana? La hasha huu sio uungwana.
Ukimwi na jamii
Tanzania stars jumamosi saa 4 asubuhi
Michezo
Kuna mchezo wa redio niliupenda sana ulikuwa ukirushwa saa 12 mmoja wa wahusika aliitwa mainda nimeusahau jina.
Showtime
Mambo mambo
Boringo time ya Zuberi msabaha.
Kipindi cha mila na desturi za makabila kiliendeshwa na Wambura Mtani.
Kwangu RFA ilikuwa sehemu ya maisha, redio bila betri home hapakaliki kabisa
Kilikuwa kinaitwa WAHAPA-HAPAHapa umegusa roho yangu kabisa. Ni redio yangu pendwa hii tokea miaka mingi.
Vodacom burudani zaidi ndani kukiwa na section ya sindano kali za moto, alitangaza Fred Fidelis kila asubuhi ukitoa wikiend
Sintasahau hichi kilikuwa cha fredrick Bundala sky walker. Ni matukio ya kusisimua sana.
Maswali na majibu kila jumanne usiku sikumbuki mtangazaji.
Seachline kipindi cha kutafutana
Mind your language
Watoto bomba rfa bomba
Indo style, Prince Baina Kamukulu jumapili usiku.
Usiku wa mahaba na mtoto wa mama sabuni.
Je huu ni uungwana? La hasha huu sio uungwana.
Ukimwi na jamii
Tanzania stars jumamosi saa 4 asubuhi
Michezo
Kuna mchezo wa redio niliupenda sana ulikuwa ukirushwa saa 12 mmoja wa wahusika aliitwa mainda nimeusahau jina.
Showtime
Mambo mambo
Boringo time ya Zuberi msabaha.
Kipindi cha mila na desturi za makabila kiliendeshwa na Wambura Mtani.
Kwangu RFA ilikuwa sehemu ya maisha, redio bila betri home hapakaliki kabisa
2012 latano dah ,sasa naanza kuelewa nimezeeka sasa,Mimi nilimiliki radio 2012 nikiwa darasan la Tano, vipindi vyangu pendwa ilikua ni showtime new chapter mtangazaji Renatus kiluvya na badae alikuja sister mmoja hivi anaitwa mwanaunique.
Kipindi kingne Mambo Mambo na rfa mtangazaji aliitwa jumaa balagaza badae alikuja wiliamu bundara na Charles machugu.,.. vipindi vya asubuhi nilikuaga nipo shuleni😀. Ila jumamosi kweny kipindi Cha watoto Bomba na rfa Bomba nilikua sikosi mtangazaji alikua Elika Elias sinyangwe.
Badae viliendelea wakawa wanaibua vipaji vya watoto watangazaji kweny kipindi hicho, Kuna binti mmoja alikua anatangaza hio 2017 nilitaman Sana kuona hata sura yake lkn sikua na smartphone. Jina lake nilishika hatimae nikapata simu 2021 nili mu dm Instagram akajibu kmbe tulikua nae class moja hatimae tulikutana chuo kimoja Hadi Leo tunawasilina sana😀
Daah umekumbusha mbali aise. Nikikosa hicho kipind lazim niulize mwendelezo kwa wafuatiliaji wenzangu. Hamna kitu kilikuwa kinakera kama redio kukatika. Sijui ilikuwa inasababishwa na nini?Kilikuwa kinaitwa WAHAPA-HAPA
Jazia hapoBaruani mhuza
Samada Hasani
Fredrick bundala
Deokaji makomba
Juma baragaza
Wambura mtani
Prince baina kamkulu
DJ JOHN lya2
Tom Tom zuberi msabaha
Roy mlaliki maganga
Fred Fidelis Fredwaa
Kweli wakati Ukuta!!
Dah!...Rip FredwaaMarehemu Fredwaa ndo alikua na kipindi flan sijui kilikua kinaitwaje kilikua kina fix flan za kuchekesha alafu kuna sauti za watoto wanacheka kichizi yan
Yani ndugu acha tu yakuthibu mpaka uthibukeeeeeSasa ndugu kwanini tusisemezane kwanza yanayolithibu taifa kabla ta haya mengine ambayo hata miaka 100 ijayotutakuwa bado hatujachelewa?