Leo tukumbushane vipindi vya RFA na watangazaji wote miaka hiyo kuanzia 2005 pamoja na watangazaji wa vipindi

Leo tukumbushane vipindi vya RFA na watangazaji wote miaka hiyo kuanzia 2005 pamoja na watangazaji wa vipindi

Kipindi cha bongfleva kulikuwa kinaitwa show time, ah mimi na Kanda zangu na radio cassate ni kurekodi music , najifungia gheto nachana mistari na nakumbuka demu wangu yule wa kutoka mbeya anatoroka ijumaa iringa girls anakuja maskani namfungia hapo chumbani dingi si maza hawajui
Hahaha acha kabisa mkuu ulikuwa unajirekodia kitu kinatoka safi kabisa
 
Deokaji makomba, kipindi cha michezo na burudani
Yeah Deo Kaji Makomba na ongea yake ile yakipekee sijui huyu jamaa yupo wapi nowadays, alikuwa anapenda kupiga para flan hivii
 
Sitntosahau ya Roy Maganga ilikuwa on 🔥
Sintosahau nadhani ilikuwa Kila jumamosi, Kuna jamaa wa kuzamia south Africa story zao zilikuwa zinatisha sana na mastory mengine mengi kabisa
 
RFA SPORT alikuwa akitangaza zuhura yunusu na Millard ayo ..mchambuzi alikuwa shabani
kisu na mbazigwa Hassan hiyo combination ilinoga sana
Umeanza mkuu
 
Sintosahau nadhani ilikuwa Kila jumamosi, Kuna jamaa wa kuzamia south Africa story zao zilikuwa zinatisha sana na mastory mengine mengi kabisa
Ni jumapili.kama kawaida kuanzia saa nne na dakika kumi asubuhi
 
Back
Top Bottom