Leo tukumbushane vipindi vya RFA na watangazaji wote miaka hiyo kuanzia 2005 pamoja na watangazaji wa vipindi

Ile playback sound yake kwenye kile kipindi ilikuwa inatisha sana. Kuna siku sikuweza kulala kabisa kipindi hicho 2005 niko chalii shule ya msingi.
 
Amka na BBC ilikuwa inaniamsha kipindi hicho.
 
GTORY ROBINSON RFA
Walikuwa wanasoma email na kidwoy kipindi hicho wengine hatujui email ni nini. Kuna jamaa wa UDSM Steven Mwakyusa alikuwahakosi kutuma email kila wiki.
Kipindi kikiendeshwa na Kidbwoy, Glory na Dj John Lyatuu.
 
Mkuu kwanza hongera sana unakumbuka mambo mengi sana kwenye VIPINDI VYA RFA kongole kwako aisee vipindi vilikuwa πŸ”₯ πŸ”₯ sana
Asante sana mkuu, RFA ilikuwa zaidi ya burudani ukiongezea na uhakika wake wa kupasua mawimbi maana hadi nje ya nchi ilikuwa inasikika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…