Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyebaki wa kitambo kile Rfa ni Nani kwa Sasa?
Prince Baina Kamukulu.. Alikua anasimulia Movies za kihindi Kila Jumapii kuanzia saa nne kamili usiku.
Muda huo nanyoosha na kuandaa nguo na viatu vya shule kesho yake.
Kale ka feeling na hisia mpaka leo huwa nakumbuka na huwa na wakumbuka watu niliokua nao kipindi hicho.
Kuna vitoto vyake vinacheka balaaKipindi Cha sindano tatu za moto kilikuwa balaa
Walikuwa wanasoma email na kidwoy kipindi hicho wengine hatujui email ni nini. Kuna jamaa wa UDSM Steven Mwakyusa alikuwahakosi kutuma email kila wiki.GTORY ROBINSON RFA
Asante sana mkuu, RFA ilikuwa zaidi ya burudani ukiongezea na uhakika wake wa kupasua mawimbi maana hadi nje ya nchi ilikuwa inasikikaMkuu kwanza hongera sana unakumbuka mambo mengi sana kwenye VIPINDI VYA RFA kongole kwako aisee vipindi vilikuwa 🔥 🔥 sana
Wametoa tu hawajaweka kitu kipya kingine katika kipindi hichi.Wameweka Nini badala ya nyimbo za kihindi?