Leo tule catress na juice

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Leo niliji mwaga mapema sana saa nne nipo home

Njaa ikawa inauma dah kuagiza chakula naona uvivu hapa nikaamua kwenda kwenye friji kutafuta chochote kitu


Nikanywa mtindi nikaona mayai ndio nikapata wazo la catress


Nikaanza kuandaa viazi mbatata nikachemsha baada ya kuiva nikaanza kusaga viazi kama ugali

Nilipo hakikisha vipo sawa nikaanda karoti hoho na kitunguu

Nikaviacha nikchukua nyama ambayo nilichemsha nikaisaga vizuri na brenda


Then nikachukua viazi ambavyo nimeviponda nika mix na viuongo vyangu


Ndipo nikaanza kutengeneza mvilingo kupitia mikono katikati nika weka nyama ile ilio sagwa hakikisha mkono unapaka mafuta


Na zilikuwa na muonekano uhu baada ya hapo


Nikachukua mayai niliyo yakologa vizuri unatumbikiza viazi vyako
Weka kimoja kimoja usiwe na haraka hapo njaa ishakata nikaona nimeshiba nikasema uhu ndio mlo wangu wa jioni


Nika nimemaliza na hii inahitaji muda sana kupika hivi


Sawa Half american
 
Kwa ninavyojua mimi hiyo nyama ungeichanganya kama ulivyofanya kwenye viungo na sio kuiweka katikati.

Hata hivyo umetisha, mwanaume kupika namna hiyo sio salama sana.
😊☺️😅😂 Nimecheka kwenye daladala humu kila mtu kageuka nyuma kuangalia..imenibidi nijikaushe 😊☺️ Kama hakija tokea kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…