mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
kisa?mwanaume kupika namna hiyo sio salama sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kisa?mwanaume kupika namna hiyo sio salama sana.
Ahahah zingine nilichanganya ivyo kama unavyo jua wewe baada ya kupna mda unaendaKwa ninavyojua mimi hiyo nyama ungeichanganya kama ulivyofanya kwenye viungo na sio kuiweka katikati.
Hata hivyo umetisha, mwanaume kupika namna hiyo sio salama sana.
Ase nimecheka sana asante ilaHongera sana mkuu
Wababa chukueni ujuzi mkapikie familia zenu au mkajipikilishe wenyewe.
😂😂 ulijuaje mkuu sinaga muda nao kabisa ni kwa hamu tuWewe huitaji mke kabisa. Hapo mchawi futa la nazi la kujichukulia sheria mikononi.
Hapo mademu wote utawaona dada zako na maisha yatanyooka.
Sana upo mbali ila siku nitakualikaWe noma..unapika Kama mzungu...catres zitakua tamu Sanaa 😊
imagine hiyo nyama, na hivyo viazi plus viungo ningetoa roast la nyama na ugali fasta plus Heineken mbili za baridii......We noma..unapika Kama mzungu...catres zitakua tamu Sanaa 😊
Ahaha ila siku moja moja unakula ivyo af unalalVyakula vya watu wa mjini sisi huku usukumani chakula kama hicho tunakula ili tupate nguvu ya kupika chakula
Karibu zipo nyingi sana njooNimetamani😋😋
Utaishi sana. Wengine uroho ndio unatupeleka kwenye vitobo kuishia kufilisiwa.😂😂 ulijuaje mkuu sinaga muda nao kabisa ni kwa hamu tu
Jifunze nawe uwe unapikia familiaNapenda sana, HQ magereza walikuwa wanapika catless taaamu.
Nimeshangaa ulipoona uvivu kutoka halafu ukawa na nguvu ya vurugu zote zote hizo. Kweli tunatofautiana.Leo niliji mwaga mapema sana saa nne nipo home
Njaa ikawa inauma dah kuagiza chakula naona uvivu hapa nikaamua kwenda kwenye friji kutafuta chochote kitu
View attachment 3218744
Nikanywa mtindi nikaona mayai ndio nikapata wazo la catress
View attachment 3218747
Nikaanza kuandaa viazi mbatata nikachemsha baada ya kuiva nikaanza kusaga viazi kama ugali
View attachment 3218749
Nilipo hakikisha vipo sawa nikaanda karoti hoho na kitunguu
View attachment 3218751
Nikaviacha nikchukua nyama ambayo nilichemsha nikaisaga vizuri na brenda
View attachment 3218752
Then nikachukua viazi ambavyo nimeviponda nika mix na viuongo vyangu
View attachment 3218753
Ndipo nikaanza kutengeneza mvilingo kupitia mikono katikati nika weka nyama ile ilio sagwa hakikisha mkono unapaka mafuta
View attachment 3218754
Na zilikuwa na muonekano uhu baada ya hapo
View attachment 3218755
Nikachukua mayai niliyo yakologa vizuri unatumbikiza viazi vyako
View attachment 3218756 Weka kimoja kimoja usiwe na haraka hapo njaa ishakata nikaona nimeshiba nikasema uhu ndio mlo wangu wa jioni
View attachment 3218757
Nika nimemaliza na hii inahitaji muda sana kupika hivi
View attachment 3218758
Sawa Half american
Hongera sana mkuu maana wengine kupika ilikuwa tabu kweli. WAkati naishi peke yangu sikuwa napenda kununua chakula nilikuwa napika ila napika ili mradi kusurvive tu maana chakula chenyewe ni dakika kadhaa nshapakua.Muhimi uwe na muda tu yote yana wezekana
KaribuNime
imagine hiyo nyama, na hivyo viazi plus viungo ningetoa roast la nyama na ugali fasta plus Heineken mbili za baridii......
Hivyo vitu sijawahi vielewa, sjui pizza burger.....
Ila mwamba Mwachiluwi hongera aseeh 👊
BRAZA CHOGO umepotelea wapi we mzee wa kike!
SECRETARY BIRD
Poor Brain
zerominus10
Kama ni jioni umekula hivo saa nane usiku usingizi utakua umekata unaskilizia njaaa ya KarneAhaha ila siku moja moja unakula ivyo af unalal
Ahahha utampata mtu atakae kupenda na utaishi sana tuUtaishi sana. Wengine uroho ndio unatupeleka kwenye vitobo kuishia kufilisiwa.
Napika ila mwezi mtukufu, hapo Magereza ilikuwa karibu na ofc.Jifunze nawe uwe unapikia familia
Kwamba mikubwa 😂Kuna mmoja ataachana na mapishi atakuja kujadili kuhusu mikono
Kabisa tupo tofautiNimeshangaa ulipoona uvivu kutoka halafu ukawa na nguvu ya vurugu zote zote hizo. Kweli tunatofautiana.
Hongera kwa pishi la leo mkuu.