Leo tule catress na juice

Leo tule catress na juice

Hongera sana mkuu maana wengine kupika ilikuwa tabu kweli. WAkati naishi peke yangu sikuwa napenda kununua chakula nilikuwa napika ila napika ili mradi kusurvive tu maana chakula chenyewe ni dakika kadhaa nshapakua.
😂😂 ila kutokana na familia ulio kulia mimi kwetu nikiwa mdogo kulikuwa na ratiba kabisa ya kupika sio dada sio kaka zangu so ikifika zamu yako ukipika vibaya wanakususia
 
Hapana mkuu mimi kwetu tulikuwa na ratiba ya kupika pia hatukukuwa tukiwa na dada wa kazi. Sema sasa nilipoanza kuishi alone kupika nikawa napata tabu.
Ni mara moja moja nilikuwa naweza kutulia nikapika msosi wa hatari lakini mostly chakula changu ilikuwa mihogo ya kukaanga na roast ya nyama na cocacola. Nilikuwa napika mwenyewe ndicho chakula ambacho nilikuwa naona kwangu ni rahisi kupika maana nilikuwa nanunua mihogo mingi naichemsha naiweka kwenye friji, same to nyama so nakuwa natoa napika fasta.
Nilikuwa nakula kusurvive na nilikuwa nina 59kg pekee sometimes 58
 
😂😂😂 uvivu
 
Back
Top Bottom