bonjov
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,100
- 2,491
Nifah kwa hiyo tule tusivyovitaka jamani 🤣🤣🤣Kwa ninavyojua mimi hiyo nyama ungeichanganya kama ulivyofanya kwenye viungo na sio kuiweka katikati.
Hata hivyo umetisha, mwanaume kupika namna hiyo sio salama sana.
Kuna girlfriend nilikuwa nae nikimwambia pika anaogopa, maana vinapikwa vitu bibie mpaka anasema ukinioa utanivumilia kwenye kupika 🤣🤣🤣