Leo tule catress na juice

Leo tule catress na juice

Kwa ninavyojua mimi hiyo nyama ungeichanganya kama ulivyofanya kwenye viungo na sio kuiweka katikati.

Hata hivyo umetisha, mwanaume kupika namna hiyo sio salama sana.
Nifah kwa hiyo tule tusivyovitaka jamani 🤣🤣🤣
Kuna girlfriend nilikuwa nae nikimwambia pika anaogopa, maana vinapikwa vitu bibie mpaka anasema ukinioa utanivumilia kwenye kupika 🤣🤣🤣
 
Waje pm nipo single
Na mkiashaanza kuongezeka, na ubora wa chakula unapungua; kama ulikuwa unakula nusu kuku peke yako, kwa sasa nusu kuku mtakula wawili.
Hii ndio sababu ya wanaume wengi tunashindaa baa tukila nyama choma, ili tule vizuri kuliko nyumbani (walipo walaji wengi/kipato kidogo)
 
Back
Top Bottom