Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Sawa mkuu we endelea kupikaPesa inakuja tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu we endelea kupikaPesa inakuja tu
Nani kakwambia?Kisa wew unaita wadada wakusaidie kazi sio
Yummy yummyLeo niliji mwaga mapema sana saa nne nipo home
Njaa ikawa inauma dah kuagiza chakula naona uvivu hapa nikaamua kwenda kwenye friji kutafuta chochote kitu
View attachment 3218744
Nikanywa mtindi nikaona mayai ndio nikapata wazo la catress
View attachment 3218747
Nikaanza kuandaa viazi mbatata nikachemsha baada ya kuiva nikaanza kusaga viazi kama ugali
View attachment 3218749
Nilipo hakikisha vipo sawa nikaanda karoti hoho na kitunguu
View attachment 3218751
Nikaviacha nikchukua nyama ambayo nilichemsha nikaisaga vizuri na brenda
View attachment 3218752
Then nikachukua viazi ambavyo nimeviponda nika mix na viuongo vyangu
View attachment 3218753
Ndipo nikaanza kutengeneza mvilingo kupitia mikono katikati nika weka nyama ile ilio sagwa hakikisha mkono unapaka mafuta
View attachment 3218754
Na zilikuwa na muonekano uhu baada ya hapo
View attachment 3218755
Nikachukua mayai niliyo yakologa vizuri unatumbikiza viazi vyako
View attachment 3218756 Weka kimoja kimoja usiwe na haraka hapo njaa ishakata nikaona nimeshiba nikasema uhu ndio mlo wangu wa jioni
View attachment 3218757
Nika nimemaliza na hii inahitaji muda sana kupika hivi
View attachment 3218758
Sawa Half american
nilikua sina bando shoo😘.Bora shogaangu unifundishe natia aibu, ulipotelea wapi 😻
Baby wetu mzima? Nimemmiss 🥰
Kumbe una jina zuri hivyo.😂😂😂Sema Mbaruku hujuagi hata kujificha bwashee
😹😹 Acha zako wewe sema ulikuwa busy, unakosaje bando shoo?? Pesa kwako zimejaa.!nilikua sina bando shoo😘.
Hajambo kabisa nitakutumia umuone amekuwa mkubwa-.
Uwiiii!!! Sio jina langu bn huyo lyod Munroe Kashiba magimbi ananipachika tu majina.Kumbe una jina zuri hivyo.
Kumbe kabadili jinaUwiiii!!! Sio jina langu bn huyo lyod Munroe Kashiba magimbi ananipachika tu majina.
Jf kila mtu na kituko chake.
Yule mfanyabiashara😹😹😹 Sio muda naona yuko mbioni, km yule George wa TikTok anavyopika had mi mdada naona aibu..!!
😹😹😹 Mwachi anatuhamasisha wavivu tupike, ila yule George fala kweli anaweka viungo vya pilau maji ya kuoga..!!Kwahiyo unashibaje
Yule mfanyabiashara
Huyu mwachi sijui tusemeje
Propaganda Machine naona unazonga zonga msukule wako 😁
Kuna wavu Sasa hivi unaenda kukunasa.Jf kila mtu na kituko chake.
Kijana unahitaji kisomo😂Propaganda Machine naona unazonga zonga msukule wako 😁
Mizimu ya Mbozi inanilinda.Kuna wavu Sasa hivi unaenda kukunasa.
Humjui Mjaeed Majinn wewe.
Afande selle angekufaga zamaaani Sana.Kijana unahitaji kisomo😂
Mizimu ya kishamba ile.Mizimu ya Mbozi inanilinda.