Leo tumalize ubishi; Ni msanii gani mkali kuliko wote pale WCB?

Asilimia kubwa wanaimba kama wanaimba kaswida tu,pale mwenye afadhali kdgo na mwenye vionjo tofaut ni rayvan boy pekee wengine wote waimba kaswida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo maromboso hana muda mrefu pale WCB hafai kuwekwa kwa sasa.
Lakini uwezo wake tunaujua, anajua kuliko Queen D na Lavalava ndio maana nikamweka juu yao. Tunategemea makubwa kutoka kwake. Ila jina linabeba. Niliona wanamwita MBOSSO, Napendekeza ajibrand kama "MbossoClassic" itakuwa poa
 
Kuna kipindi nlimuona vany boy ka tishio ila hzi nyimbo mbili za mwisho mbeleko siju na zezeta kwa kweli sijazielewa my list is
Chibu
Mavoko
Harmonize
 
wachunguzi wa mambo wanasema watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri muda mwingi hutumia kuzungumzia watu wengine (kucompare)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…