agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
Ni kweli kabisaa ukisifiwa sana jiangalie kwa jicho la tatu.lazima utakuwa mbovuKibongobongo ukiona hutukanwi jua umepuuzwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisaa ukisifiwa sana jiangalie kwa jicho la tatu.lazima utakuwa mbovuKibongobongo ukiona hutukanwi jua umepuuzwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani maromboso nae yupo WCB sik hiz mjini nimeingia leoHuyo maromboso hana muda mrefu pale WCB hafai kuwekwa kwa sasa.
Huu mbona kama uchafu?Quenn Darleen anajua sana ingawa hapo kwa list umempotezea.![]()
-Ndumilakuwili-
Lakini uwezo wake tunaujua, anajua kuliko Queen D na Lavalava ndio maana nikamweka juu yao. Tunategemea makubwa kutoka kwake. Ila jina linabeba. Niliona wanamwita MBOSSO, Napendekeza ajibrand kama "MbossoClassic" itakuwa poaHuyo maromboso hana muda mrefu pale WCB hafai kuwekwa kwa sasa.
Una machoooo kweli hawa wanatumia nguvu za ziada si bureeHalafu mbona hao wote ambao mikono yao imeonekana wamevaa Pete ktk vidole viwili vya mwisho!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuu si kwa chupi hiloQuenn Darleen anajua sana ingawa hapo kwa list umempotezea.![]()
-Ndumilakuwili-
HuelewekiTo me
Daimondi
Mavoko
Reivani
Lavalava
amonaiz
Sema reivani ndo namwelewa sana [emoji45][emoji45]
Umetoka nje ya mada.Wasafi wamngemuadd beka na aslay.lol
Dahh...punguza mahaba mkuu..Rayvany n kipaji maalum, msimfananishe na ujinga mwingine huo, yani ndio msanii anayeweza kuvaa viatu vya ngweir
wachunguzi wa mambo wanasema watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri muda mwingi hutumia kuzungumzia watu wengine (kucompare)Muda mrefu kumekuwa na minong'ono ya chinichini kwamba kuna baadhi ya wasanii pale WCB wana uwezo mkubwa tatizo nyota wengine uwezo wao mdogo ila wanabebwa na kiki.
Wapo wanaodai Rayvann ndiye msanii mkali kuliko wote pale WCB, wapo wanaodai Richi Mavoko ni shiiiida yaani anajua mpaka anakera, vilevile wapo wanaovutiwa na uwezo wa uimbaji wa Lavalava pia wapo wanaodai Konde Boy Harmonize uwezo wake sio wa nchi hii .
Bila kusahau wapo wanaodai uwezo wa Diamond Platinums Chibu D Chibu De a.k.a Simbaaaa ni hakunaga kama yeye Tangu dunia iumbwe.
View attachment 584341Diamond Platnumz
View attachment 584342Rayvann
View attachment 584344Konde boy Harmonize
View attachment 584346Mavoko
View attachment 584347Lavalava.
Haya sasa tiririkeni.