miss charming
JF-Expert Member
- Dec 3, 2016
- 910
- 905
Tofauti harmonise ndo hana sauti ya kipekee anamuiga mond mm cjuagi hata sauti yake realWote wakali kwa namna tofauti..kila mmoja ana sauti ya kipekee
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Tofauti harmonise ndo hana sauti ya kipekee anamuiga mond mm cjuagi hata sauti yake real
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji106]Rayvany n kipaji maalum, msimfananishe na ujinga mwingine huo, yani ndio msanii anayeweza kuvaa viatu vya ngweir
Quenn Darleen anajua sana ingawa hapo kwa list umempotezea.
-Ndumilakuwili-
una sikio zito sana mkuu,yani unashindwa kutofautisha sauti ya mondi na harmo?ebu kasikilize zilipendwa na bado upate tofauti...wanachofanana dai na harmo ni genre ya muziki tu ambayo ndo wcb nzima wanaitumia na swaga tu...maana dogo anajibrand so lazima afuate nyayo...ndo maana anakwambia diamond ni role model wake! kila mmoja ana sauti na uwimbaji wake tofauti.Tofauti harmonise ndo hana sauti ya kipekee anamuiga mond mm cjuagi hata sauti yake real
Sent using Jamii Forums mobile app
Ao aache chuki zake za kishetani akasikiliz Matatizo ndo atajuwa Harmonize ni wakipeke.una sikio zito sana mkuu,yani unashindwa kutofautisha sauti ya mondi na harmo?ebu kasikilize zilipendwa na bado upate tofauti...wanachofanana dai na harmo ni genre ya muziki tu ambayo ndo wcb nzima wanaitumia na swaga tu...maana dogo anajibrand so lazima afuate nyayo...ndo maana anakwambia diamond ni role model wake! kila mmoja ana sauti na uwimbaji wake tofauti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Quenn Darleen anajua sana ingawa hapo kwa list umempotezea.
-Ndumilakuwili-