Leo tumalize ubishi; Ni msanii gani mkali kuliko wote pale WCB?

Leo tumalize ubishi; Ni msanii gani mkali kuliko wote pale WCB?

Wale wapiga madili sasa hali mbaya,
Hizi zama za magufuri si za jakaya ,
Ugomvi wa Mr nice na dudu baya,
Vikatuni vya madenge baba ubaya...
Aloimba kipengele hicho ndo nayemkubali cjui ndo nan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mondi na mavoko ndio naelewa, huyo mwimba mipasho kutoka mbeya na makonde boi amna lolote
 
Quenn Darleen anajua sana ingawa hapo kwa list umempotezea.
6d5521fb1dde3c31f66f210024ece5c0.jpg

-Ndumilakuwili-

Grandmas underwear, mhhhhh. Kuwa a star Bongo kwa kweli ni shidaa kweli kweli.
 
Tofauti harmonise ndo hana sauti ya kipekee anamuiga mond mm cjuagi hata sauti yake real

Sent using Jamii Forums mobile app
una sikio zito sana mkuu,yani unashindwa kutofautisha sauti ya mondi na harmo?ebu kasikilize zilipendwa na bado upate tofauti...wanachofanana dai na harmo ni genre ya muziki tu ambayo ndo wcb nzima wanaitumia na swaga tu...maana dogo anajibrand so lazima afuate nyayo...ndo maana anakwambia diamond ni role model wake! kila mmoja ana sauti na uwimbaji wake tofauti.

Ao aache chuki zake za kishetani akasikiliz Matatizo ndo atajuwa Harmonize ni wakipeke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tukimwindoa diamond , anaefwata pale ni konde boy , unajua kwa nn? nyimbo zote za konde boy ni hatar mtaan , ukianza na aiyola,bado,matatizo,nambie nk hzo ngoma zote zmegusa hisia za watu,, huyo rayvan nymbo zake ziko wap? ukiachana na ile ya "kwetu" na "natafuta kiki" ipi nyngne ya vanboy imefanya poa sana??? mavoco tangu aingie wcb ule utunz wake cjui kaupeleka wap,, kuna vitu anaimbaga mavoco km vile kalewa mm huwa nashndwa kumwelewa ,,,, hao akina lavalava cjui maromboso mm cwajui kwan wamesajiliwa lin pale WCB?
 
Back
Top Bottom