Leo tumalize ubishi ni msanii gani wa rap anaweza fika hata nusu ya Fid Q

Naunga mkono hoja hivi vichwa sio vya kawaida
 
Kwangu hakuna kama NIKKI MBISHI hapa ata FID anakaa kuanzia freestyle hadi kuandika basi tu jamaa hajui kula na vipofu

Kwanza nikki kamkuta fid kwenye game ila hadi leo hii ana nyimbo nyingi kuliko fid na zote ziko dede kama unapenda ngumu, album ya jogoo ilikuwa complete sana
 
Ata Diamond alipanda na bit lake. Fresh
 
Tamaduni wako vizuri sana hawa jamaa, ila nao wanamkubali Fareed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…