Leo tumalize ubishi ni msanii gani wa rap anaweza fika hata nusu ya Fid Q

Leo tumalize ubishi ni msanii gani wa rap anaweza fika hata nusu ya Fid Q

SONGA.. NIKKI MBISHI, ONE The Incredible, na crew nzima ya Tamaduni muziki hawa jamaa hawafai ni vile wana bifu na media ya unyonyaji clouds ndo maana hawatoboi... nyimbo zao zmebaki kuwa MAKITABA ZA GETTO.

Cc: power, sifa ya uandishi, mahiri, na zingne nyingi skiliza.
Naunga mkono hoja hivi vichwa sio vya kawaida
 
Kwangu hakuna kama NIKKI MBISHI hapa ata FID anakaa kuanzia freestyle hadi kuandika basi tu jamaa hajui kula na vipofu

Kwanza nikki kamkuta fid kwenye game ila hadi leo hii ana nyimbo nyingi kuliko fid na zote ziko dede kama unapenda ngumu, album ya jogoo ilikuwa complete sana
 
Fid aliwahi kusema hakuna msanii wa bongo anaeweza kupanda na bit yake ajitokeza stamina akapanda na ile ya mwanza mwanza mbona fid alikubali, hiv haujawahi kuwaona wakipambanishwa jukwaani alafu anapandishwa mrembo wamchane vocal marakibao fid anachemka kwa yule dogo.
Ata Diamond alipanda na bit lake. Fresh
 
SONGA.. NIKKI MBISHI, ONE The Incredible, na crew nzima ya Tamaduni muziki hawa jamaa hawafai ni vile wana bifu na media ya unyonyaji clouds ndo maana hawatoboi... nyimbo zao zmebaki kuwa MAKITABA ZA GETTO.

Cc: power, sifa ya uandishi, mahiri, na zingne nyingi skiliza.
Tamaduni wako vizuri sana hawa jamaa, ila nao wanamkubali Fareed
 
Back
Top Bottom