Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You real know hiphop??Aman iwe nannyi wakuu
Nataka leo tumalize ubishi mazee
Iv ni msanii gan wa rap yaan hip hop anaweza fikia hata nusu ya fidq kwa michano na mistar iliyoenda shule
Je kuna msanii mgumu kama fidq japo hata nusu yake tu
Kwa miaka ya nyuma kidogo msanii john makin alishindanishwa na huyu ngosha, je kwa sasa kuna mtu anaweza thubutu kweli kumfananisha fidq na john makin
Naomba tumalize huu ubishi mazee kama kuna msanii wa rap ambaye anaweza fika hata nusu ya fidq
LONDON BABY
Fid hakuna anachojua mbele ya mbishiAnajitaid lakin bado hajamfikia
Dizasta vina mzee wa siku mbayaI concurr.
Pia kuna wengine wabaya ila hawana consistency sana kama Songa, Dizasta, Steteo, Nikki Mbishi.
Roma hana tofauti na rose mhandoVIVA ROMA VIVA...hakuna mc mkali East Africa.kama Roma..machunusi akatunge riwaya
Mkuu nafikiri umezama deep kwenye hip hop na watu wanaoisikiliza juu juu tu hawawezi kukuelewa.Roma hana tofauti na rose mhando
Hawa watoto wa juzi mkuu tukianza kuwambia kuhusu chindo man hawatatuelewa kabisa wakati ni LegendMkuu nafikiri umezama deep kwenye hip hop na watu wanaoisikiliza juu juu tu hawawezi kukuelewa.
Hahaha. Habari za Mr. II ndani ya Dar Young Mob na siku za Solid Ground Family katika mashindano ya Kim Mgomelo "Yo Rap Bonanza" sijui hata kama wanazijua.Hawa watoto wa juzi mkuu tukianza kuwambia kuhusu chindo man hawatatuelewa kabisa wakati ni Legend
Kweli mkuu ukiwabia issue za hashimu dogo ndyo hawatokuelewa kabisa dah!Hahaha. Habari za Mr. II ndani ya Dar Young Mob na siku za Solid Ground Family katika mashindano ya Kim Mgomelo "Yo Rap Bonanza" sijui hata kama wanazijua.
Siku hizo ukisema Mr. II atakuja kuwa mbunge ungeinekana kituko.
Professor Jay alikuwa mbeba begi kimbaumbau tu wa Hard Blasterz.
In The Shadow of a Dark Destiny... Hashimu mwanaharamu.Kweli mkuu ukiwabia issue za hashimu dogo ndyo hawatokuelewa kabisa dah!
Hiki kweli ni kizazi cha wakata mauno
Noma sana mkuu Leo tumekumbushana mbali mno mkuu kuhusu ma legend wa hip hop ya kibongo sio hawa kina afande selleIn The Shadow of a Dark Destiny... Hashimu mwanaharamu.
Anakwambia haya mambo yako wazi kama vazi la kahaba, anawapelekesha ma MC kwa kuwapa siku saba (enzi za Mrema kuwapa siku saba watu hizo)
Umenikumbusha Hashim ngoja niutafute huu wimbo. Ulitesa sana.
Track hii hapa. Live.Noma sana mkuu Leo tumekumbushana mbali mno mkuu kuhusu ma legend wa hip hop ya kibongo sio hawa kina afande selle
Track hii hapa
Hashim dogo alikuwa anajua ila pia he is overratedKweli mkuu ukiwabia issue za hashimu dogo ndyo hawatokuelewa kabisa dah!
Hiki kweli ni kizazi cha wakata mauno