Leo tumalize ubishi ni msanii gani wa rap anaweza fika hata nusu ya Fid Q

Leo tumalize ubishi ni msanii gani wa rap anaweza fika hata nusu ya Fid Q

Baby mbona unasonya/
Mtoto unatikisa chura haswa ukivaa pensi nyanya/
Unajiita Beira baby,ukiwa na mimi boy wako waziri sonyo/
Unapenda nikunyoso hata haswa ukiwa on mood/
Baby Beira nasikia siku hizi unatoka na muudi/
Au kwa kuwa siliamshi dude kama braza joh/
You yoh yoh mic [emoji441] check one two aisee nina bonge la m****b Za kuandika mistar ya kutosha /
Ku kunyoosha mtoto mzuri kama wewe:
Mwenye kutoa misonyo
 
Dawg uta muua hako ka Cute baby boy!! Kwenye uzi wa hip hop analeta habar za misonyooo....
 
Baby mbona unasonya/
Mtoto unatikisa chura haswa ukivaa pensi nyanya/
Unajiita Beira baby,ukiwa na mimi boy wako waziri sonyo/
Unapenda nikunyoso hata haswa ukiwa on mood/
Baby Beira nasikia siku hizi unatoka na muudi/
Au kwa kuwa siliamshi dude kama braza joh/
You yoh yoh mic [emoji441] check one two aisee nina bonge la m****b Za kuandika mistar ya kutosha /
Ku kunyoosha mtoto mzuri kama wewe:
Mwenye kutoa misonyo
Jombaaa unatafuta umarufu kupitua wanaume wenzio?

Utapigwa miti mse(nge wewe

Acha kunishobokea kamlete mama yako nimupige miti afu baba yako nimfi/()le
 
Tuliza nyero jomba ivi mashoga huwa mkoje? Yaan unatafuta wanaume mitandaon kwa nguvu

Hakika nimeamin shoga akitaka kupigwa miti huwa anaweweseka sana

Nywanoko
Baby mbona unapaniki sana/
Au kwa kuwa nimekuchana/
Nicki yupo juu sana/

Ha ha ha Bebe baby (in B I G voice)
 
Haa ha...!! Kuna wasaniii wa Hip hop wengi sana naona mnawataja wengine sijui wanatokea machimbo gani hukoo.. Mnayoongea ni saw Na kusema Hakuna msanii wa Bongo fleva anaejua zaidi ya Diamond... Kuna watu hawasikiki tu ni ma underground yani Kiba na Mond wanabaki sanaa.. Sema sasa mwisho wa siku ni nani Anasikilizwaa.... Fid Q ni Legend of Hip Hop Bongoo kataa au kubali... Hao kina Incridible wanajua ilaa sijawahi sikia Ngoma zao hata sijui kwenye boda boda...

FID Q IS LEGEND OF HIP HOP IN BONGO LAND...NEVER UNDER RATE HIM..!![HASHTAG]#SHWAIIIN[/HASHTAG]
 
Na kama watu wanakupa Airtime sana na kukusikiliza mwisho wa siku wew ndo Mkaliii sanaa no matter wat...!! Fid Q motooo mwinginee... msieletee wasaniii wenu uchwaraa hapaaa...
 
Fid Q rules the game, lakini anachonikera kujipendekeza kwa Bashite na CCM. Anaonekana kituko sema ye hajijui. Sijui njaa?
 
Back
Top Bottom