Leo tumemzika mpendwa Edward Magige kijijini Butiama

Maziko yamekwisha kwa amani tunashukuru.
Kwanza tulikuwa Shinyanga tukamwita paroko kufanya ibada. Paroko hakuongea chochote zaidi ya kumgombeza maiti kwa tabia yake ya kutopenda kwenda kanisani alipokuwa hai.
Tukaenda Butiama ikafanyika misa,lakini khutba ya paroko ilikuwa inaonyesha ulikuwepo mgogoro na kwamba Ile misa kidogo isifanyike.
Hata hivyo,tumefanya misa na tumezika. Baada ya hapo mtu akatoa tangazo wanaukoo tukutane baada ya watu kutawanyika.
Tukafanya mkutano wa ukoo. Mtu akatoa hoja pale:"Mwalimu Nyerere amekufa,hakutuachia hela. Lakini,alikuwa anaheshimika,na yeye hayupo sasa,kwa hiyo ile heshima yake,yote ni yetu. Lakini watu wengine hapa wanafanya mambo ya ovyo. Kwa hiyo wachapwe viboko."
Baada ya mabishano ya muda mrefu,watu pale wamechapwa viboko.
Poleni,kumbe mmeshazika? Nilipanga niwepo msibani,nilikuwa na marehemu Mwanza kama miezi mitatu iliyopita.
 
It is a short step from mirth to melancholy.

Well, I hope Edward kamfikishia salamu Sukuru Mugendi kwamba li Zanzibar lake alilotuunganisha nalo linatupelekesha kama gari bovu, zile concerns zake kwamba pakibaki huru patatumika na Mwarabu zimepinduka, bora wangebaki kivyao, manake Mwarabu anatununua mazima kupitia upenyo wa Zanzibar. First it was the mbugas then the bandaris and now in their latest exploit they sprung up with human trafficking and sex workers deal through ajira za Uyaya Saudia.
 
Maziko yamekwisha kwa amani tunashukuru.
Kwanza tulikuwa Shinyanga tukamwita paroko kufanya ibada. Paroko hakuongea chochote zaidi ya kumgombeza maiti kwa tabia yake ya kutopenda kwenda kanisani alipokuwa hai.
Tukaenda Butiama ikafanyika misa,lakini khutba ya paroko ilikuwa inaonyesha ulikuwepo mgogoro na kwamba Ile misa kidogo isifanyike.
Hata hivyo,tumefanya misa na tumezika. Baada ya hapo mtu akatoa tangazo wanaukoo tukutane baada ya watu kutawanyika.
Tukafanya mkutano wa ukoo. Mtu akatoa hoja pale:"Mwalimu Nyerere amekufa,hakutuachia hela. Lakini,alikuwa anaheshimika,na yeye hayupo sasa,kwa hiyo ile heshima yake,yote ni yetu. Lakini watu wengine hapa wanafanya mambo ya ovyo. Kwa hiyo wachapwe viboko."
Baada ya mabishano ya muda mrefu,watu pale wamechapwa viboko.
Hivyo viboko havikusibiri matanga yaishe? Poleni Nyerere family. Apumzike kwa amani marhum wetu
 
Kwenye list ya watu waliokula mboko sidhani hata kidogo kama Makongoro alisalimika.

Ila mtu mzima bora upigwe ngumi lakini sio mboko aisee.
Imagine watoto wako wanakuona baba unakula mboko mbele ya ukoo kwa ajili ya utovu wa nidhamu, unafikiri nyumbani utawaambia nini!
 
Maziko yamekwisha kwa amani tunashukuru.
Kwanza tulikuwa Shinyanga tukamwita paroko kufanya ibada. Paroko hakuongea chochote zaidi ya kumgombeza maiti kwa tabia yake ya kutopenda kwenda kanisani alipokuwa hai.
Tukaenda Butiama ikafanyika misa,lakini khutba ya paroko ilikuwa inaonyesha ulikuwepo mgogoro na kwamba Ile misa kidogo isifanyike.
Hata hivyo,tumefanya misa na tumezika. Baada ya hapo mtu akatoa tangazo wanaukoo tukutane baada ya watu kutawanyika.
Tukafanya mkutano wa ukoo. Mtu akatoa hoja pale:"Mwalimu Nyerere amekufa,hakutuachia hela. Lakini,alikuwa anaheshimika,na yeye hayupo sasa,kwa hiyo ile heshima yake,yote ni yetu. Lakini watu wengine hapa wanafanya mambo ya ovyo. Kwa hiyo wachapwe viboko."
Baada ya mabishano ya muda mrefu,watu pale wamechapwa viboko.
Shinyanga mlikuwa Parokia gani? Kama ni yule Paroko wangu yuko sahihi!
 
Siku nyingine muwe na adabu na mufuate tamaduni zenu...Watu wawili wamekufa kwa vifo vya ajali.
 
Back
Top Bottom