Leo tumemzika mpendwa Edward Magige kijijini Butiama

Poleni,kumbe mmeshazika? Nilipanga niwepo msibani,nilikuwa na marehemu Mwanza kama miezi mitatu iliyopita.
 
It is a short step from mirth to melancholy.

Well, I hope Edward kamfikishia salamu Sukuru Mugendi kwamba li Zanzibar lake alilotuunganisha nalo linatupelekesha kama gari bovu, zile concerns zake kwamba pakibaki huru patatumika na Mwarabu zimepinduka, bora wangebaki kivyao, manake Mwarabu anatununua mazima kupitia upenyo wa Zanzibar. First it was the mbugas then the bandaris and now in their latest exploit they sprung up with human trafficking and sex workers deal through ajira za Uyaya Saudia.
 
Hivyo viboko havikusibiri matanga yaishe? Poleni Nyerere family. Apumzike kwa amani marhum wetu
 
Kwenye list ya watu waliokula mboko sidhani hata kidogo kama Makongoro alisalimika.

Ila mtu mzima bora upigwe ngumi lakini sio mboko aisee.
Imagine watoto wako wanakuona baba unakula mboko mbele ya ukoo kwa ajili ya utovu wa nidhamu, unafikiri nyumbani utawaambia nini!
 
Shinyanga mlikuwa Parokia gani? Kama ni yule Paroko wangu yuko sahihi!
 
Siku nyingine muwe na adabu na mufuate tamaduni zenu...Watu wawili wamekufa kwa vifo vya ajali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ