Leo tumemzika mpendwa Edward Magige kijijini Butiama

Ni kweli vifo 2 kwa ajali ndani ya muda mfupi ilibidi wazee wakae wajadili hili na siyo kuanza kuchapana. Inaweza kuwa wazee waliotangulia hawajaridhika na jinsi mambo yanavyoenda
Kuna tatizo sehemu hawa vijana wakipata uongozi...Kumbuka yule balozi ndugu yake Maghayo alipata kesi huko nje kalitia taifa aibu kwa kesi yake ya hovyo akaja kufa vibaya ,gari imeungua na yeye kaiva kama nyama
 
GENTAMYCINE hajala bakora? Maana huwa anajiona yeye ndio Andrew Nyerere
 
Kajamba Nani tusiojulikana, tusioenda jumuiha tukifa paroko anachomoa, kwakuwa hao majina paroko kakubali kufanya Misa, hakuna usawa.
 
Awaachie hela za nini? Mlikuwa na mkataba naye? Alifanya kosa kula na kumaliza jasho lake? Tafuteni za kwenu mle, Nyerere alikula zake hakula za ukoo
 
Hawa maparoko wahuni tu, ni bora asiyekwenda kusali kuliko wao na tabia zao, je kama marehemu angepewa nafasi ya kusema jambo juu yao wangeficha wapi nyuso zao? Hasira yao juu ya marehemu ni kukosa sadaka tu nothing else
 
Wewe ni Andrew Nyerere?

Kama ni wewe habari za siku mkuu.
 
Heee balaa
 
Mkampa paroko fedha pamoja na kwamba alimgombeza maiti bila kuhoji?
 
Ni vyema na vizuri sana. Ila tukipata video ya mmoja wa hao wanaofanya vitendo vya hovyo, akipokea adhabu yake ya viboko, itasaidia sana wengine kuachana na maovu yao kama hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…