Leo tunafunga rasmi mjadala kwa Kukubaliana kuwa ni kweli kabisa Wanawake wote Kipaumbele chao kwa Wanaume ni Pesa na Maisha mazuri na siyo Mengineyo

" women make rules for the broke and break rules for the rich guys" Very powerful..
 
Huku mtaani mbona maisha yanaendelea kama kawaida wenye pesa na wasio na pesa wote wanatia mimba na kupewa tunda bila shida.
Binafsi najua mwanamke anataka upige kazi vizuri hadi "magodoro yaishe"!in magoti's voice)mengine ni ziada
Wanawake hawaeleweki

Mke wa bosi wa TRA analiwa na msukuma mkokoteni,kisa me ana kitambo na shoo anapiga dakika 2 chaliii

Mke wa msukuma mkokoteni analiwa na bosi wa TRA kisa mwanamke wa msukuma mkokoteni anatafuta maisha mazuri

Kikubwa kila.mtu anakula anapopanda
 
Love is free,just expensive to shop,.. Rick Ross ..Mapenzi ya kweli pays no bill
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…