Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 1,949
- 4,759
😹😹😹 Slow slow mbele kuna mteremko mkaliAu huenda kuna kijumba au vibanda anavipigia hesabu kuzani Mwanaume atatangulia kufa ili yeye awe mrithi.
Pengine kapiga hesabu akilianzisha la kuondoka itakuwa ngumu kugawana pasu to pasu sababu hajatoa hata 100 ya kujenga hivyo vijumba.