Leo tunamaliza ugomvi wanaume wa mikoani na wanaume wa Dar nani ni zaidi kusaka maisha.

chotera

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2016
Posts
6,560
Reaction score
15,864
wakuu.
habari ya kwenu uzi huu ni maalumu leo tunakata mzizi wa fitna nani mchapa kazi kati ya wanaume wa Dar na wale wa mikoani maana kumekua na vijembe visivyoisha.
kila mmoja ataje mtazamo wake na mwisho tutaandaa mechi maalumu ya mpira wa miguu kati ya wanaume wa mkoani na wanaume wa Dar ataeshinda ndio atapewa kombe na ataeshindwa atatakiwa kumheshimu mshindi.
 
mtazamo wa pili wanaume wa mkoani huonekana wagumu, wasio watanashati, wala vyakula vigumu ugali maharage yaani watu wa harubu sana.
 
mkumbuke mechi ya mpira wa miguu itaandaliwa baada ya maoni yenu.
 
tujadili nani msaka pesa na mitazamo mingine.
 
matusi mwiko tujadili kama wamoja ndugu zangu.
 
Wa mkoani zaidi. Sisi wa Dar tia maji tia maji! Tunasubiri madili laini na yakikosa tunalala nyumbani. Ima wa mkoani hata jembe atashika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…