wakuu.
habari ya kwenu uzi huu ni maalumu leo tunakata mzizi wa fitna nani mchapa kazi kati ya wanaume wa Dar na wale wa mikoani maana kumekua na vijembe visivyoisha.
kila mmoja ataje mtazamo wake na mwisho tutaandaa mechi maalumu ya mpira wa miguu kati ya wanaume wa mkoani na wanaume wa Dar ataeshinda ndio atapewa kombe na ataeshindwa atatakiwa kumheshimu mshindi.