Stone cold 316
JF-Expert Member
- May 5, 2017
- 259
- 260
Tukicheza mechi na wanaume wa mikoani si tutawatia mabao mengi tuu kama zanzibar heros walivyowatia kilimanjaro stars
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaMsamehe mkuu naona kapandisha mori
Dar dili kula na kuuza sembe ndo mnawezawanaume wa dar ni very smart,tunatengeneza mamilioni kwa migongo yenu wa mikoani, ninakumbuka vijana wangu wa shamba na wale wanaoniita mzee kisa buku tano tano ninazowapa, pili wa dar ni very open minded ndio tunaendesha hii nchi mpaka tunamtoa kijasho magu kwa kudili na sisi, tatu tuna mademu wa ukweli, achana na wake zetu ila mademu wetu ni vyombo balaa, nyie wa mikoani mtaishia kupiga nyeto tuu...cha mwisho ni hela, wanaume wa dar tunayo hela aisee
Wanaume wa Dar ni akina Nani Na wa mikoani ni akina Nani?Majengo na miundombinu yote iliyoko Dar kwa 98%wanajenga wanaume wa mikoani ila 100% ya mikoani wamejenga wenyewe
Tunaongelea origin achilia mbali waishio wanaume kama akina Mimi hapa,mengi,kusaga,Ali mufuruki,karamagi,Mtembei,akina naniliiWanaume wa Dar ni akina Nani Na wa mikoani ni akina Nani?
Usifananishe wanaume Wa dar Na vitu vya ajabu
Hawana jipya😀😀Mkuu haujakutana na kidume cha mkoani wewe [emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji87] [emoji87] [emoji87] aiseee we nomaaaa![]()
Wanaume wa Dar mnatia aibu sana, huku mikoani mashamba yako bwerere mnayaacha na kukimbilia kuokota makopo jijini
Humu Wa Dar Original wapo kweli? Na watu Og wa Dar ni kabila gani?Tunaongelea origin achilia mbali waishio wanaume kama akina Mimi hapa,mengi,kusaga,Ali mufuruki,karamagi,Mtembei,akina nanilii
Hawana jipya😀😀