Leo tunamaliza ugomvi wanaume wa mikoani na wanaume wa Dar nani ni zaidi kusaka maisha.

Leo tunamaliza ugomvi wanaume wa mikoani na wanaume wa Dar nani ni zaidi kusaka maisha.

Tukicheza mechi na wanaume wa mikoani si tutawatia mabao mengi tuu kama zanzibar heros walivyowatia kilimanjaro stars
 
wanaume wa dar ni very smart,tunatengeneza mamilioni kwa migongo yenu wa mikoani, ninakumbuka vijana wangu wa shamba na wale wanaoniita mzee kisa buku tano tano ninazowapa, pili wa dar ni very open minded ndio tunaendesha hii nchi mpaka tunamtoa kijasho magu kwa kudili na sisi, tatu tuna mademu wa ukweli, achana na wake zetu ila mademu wetu ni vyombo balaa, nyie wa mikoani mtaishia kupiga nyeto tuu...cha mwisho ni hela, wanaume wa dar tunayo hela aisee
Dar dili kula na kuuza sembe ndo mnaweza
 
Wanaume wa mikoani wanatumia akili na nguvu inapohitajika ila wa dar maisha yakiwashinda wanakuwa WAKINA JAMES DELICIOUS
 
Ngoja nikale zangu silesi mbili na nusu soseji nikalalale
 
Wa mkoani Niko hapa[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Ngoja kwanza nipake Grisi chuma changu kisha nirudi
 
2b174934fdec030cfed1d999bf21879f.jpg

Wanaume wa Dar mnatia aibu sana, huku mikoani mashamba yako bwerere mnayaacha na kukimbilia kuokota makopo jijini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji87] [emoji87] [emoji87] aiseee we nomaaaa
 
Zaramo men are very soft, you can't compare with gentlemen from Simiyu
 
Back
Top Bottom