agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
Kwani nyie mnavyowadharau wenzenu Wa dar ndo nini hicho?Acha zarau wewe vitu vya ajabu ndo nini hicho
Kwani nyie mnavyowadharau wenzenu Wa dar ndo nini hicho?
Shusha pressure kijana...mmezoea kuwatukana wenzenu wakati mna mioyo milaini.Acha kuita binadamu mwenzio vitu wewe usije ukaona kukaa huku ndo umemaliza kila kitu hapa duniani mtu anakaa pale anapopata riziki yake kuitana vitu na mazarau ya ajabu uache motherfucker
Shusha pressure kijana...mmezoea kuwatukana wenzenu wakati mna mioyo milaini.
tuendeleee mkuuWanaume wa dar ni romantic jaman wanajua mahaba lakin wa mkoani hawajui kabisa mahaba
kwani mapigo ya moyo yamepandaShusha pressure kijana...mmezoea kuwatukana wenzenu wakati mna mioyo milaini.
zielezee hizo ndoto mkuu.Hivi ndoto za kuja dar mshazifuta??? Hamna mtz hajawahi tamani kuja dar....
Period
mkuu takwimu za kweli.Wa mkoani zaidi. Sisi wa Dar tia maji tia maji! Tunasubiri madili laini na yakikosa tunalala nyumbani. Ima wa mkoani hata jembe atashika tu
mkuu ya kweli hayoUrojo au chips mayai kipi bora
Na pia huwasaidia wanaume wa dar kuwafikisha kileleni wenzi wao MUBASHARAmtazamo wa pili wanaume wa mkoani huonekana wagumu, wasio watanashati, wala vyakula vigumu ugali maharage yaani watu wa harubu sana.
Wanaume wa dar ni romantic jaman wanajua mahaba lakin wa mkoani hawajui kabisa mahaba
We jamaa utakuwa Huwa unakula ugali tu,hutakiwi kupanikiAcha kuita binadamu mwenzio vitu wewe usije ukaona kukaa huku ndo umemaliza kila kitu hapa duniani mtu anakaa pale anapopata riziki yake kuitana vitu na mazarau ya ajabu uache motherfucker
Msamehe mkuu naona kapandisha moriShusha pressure kijana...mmezoea kuwatukana wenzenu wakati mna mioyo milaini.