Leo tunamaliza ugomvi wanaume wa mikoani na wanaume wa Dar nani ni zaidi kusaka maisha.

Leo tunamaliza ugomvi wanaume wa mikoani na wanaume wa Dar nani ni zaidi kusaka maisha.

Kwani nyie mnavyowadharau wenzenu Wa dar ndo nini hicho?

Acha kuita binadamu mwenzio vitu wewe usije ukaona kukaa huku ndo umemaliza kila kitu hapa duniani mtu anakaa pale anapopata riziki yake kuitana vitu na mazarau ya ajabu uache motherfucker
 
Acha kuita binadamu mwenzio vitu wewe usije ukaona kukaa huku ndo umemaliza kila kitu hapa duniani mtu anakaa pale anapopata riziki yake kuitana vitu na mazarau ya ajabu uache motherfucker
Shusha pressure kijana...mmezoea kuwatukana wenzenu wakati mna mioyo milaini.
 
Wa mkoani zaidi. Sisi wa Dar tia maji tia maji! Tunasubiri madili laini na yakikosa tunalala nyumbani. Ima wa mkoani hata jembe atashika tu
mkuu takwimu za kweli.
 
Mwanaume wa mikoan ni machine
Lakn wa Dar ni wavivu,wanyonge,kaz kidogooo wamechoka
Wanasubiri fadhila
 
wanaume wa dar ni very smart,tunatengeneza mamilioni kwa migongo yenu wa mikoani, ninakumbuka vijana wangu wa shamba na wale wanaoniita mzee kisa buku tano tano ninazowapa, pili wa dar ni very open minded ndio tunaendesha hii nchi mpaka tunamtoa kijasho magu kwa kudili na sisi, tatu tuna mademu wa ukweli, achana na wake zetu ila mademu wetu ni vyombo balaa, nyie wa mikoani mtaishia kupiga nyeto tuu...cha mwisho ni hela, wanaume wa dar tunayo hela aisee
 
Wanaume wa Dar wapo vizuri kwenye mikakati ya kusuka madili ya kutumia akili ya kupata hela.... Tofauti na wanaume wa mikoani kutumia minguvu mingi kutafuta hela...
 
mtazamo wa pili wanaume wa mkoani huonekana wagumu, wasio watanashati, wala vyakula vigumu ugali maharage yaani watu wa harubu sana.
Na pia huwasaidia wanaume wa dar kuwafikisha kileleni wenzi wao MUBASHARA
 
Wanaume wa dar ni romantic jaman wanajua mahaba lakin wa mkoani hawajui kabisa mahaba
images
[/URL]
 
Acha kuita binadamu mwenzio vitu wewe usije ukaona kukaa huku ndo umemaliza kila kitu hapa duniani mtu anakaa pale anapopata riziki yake kuitana vitu na mazarau ya ajabu uache motherfucker
We jamaa utakuwa Huwa unakula ugali tu,hutakiwi kupaniki
 
Majengo na miundombinu yote iliyoko Dar kwa 98%wanajenga wanaume wa mikoani ila 100% ya mikoani wamejenga wenyewe
 
Back
Top Bottom