Leo tunamaliza ugomvi wanaume wa mikoani na wanaume wa Dar nani ni zaidi kusaka maisha.

Tukicheza mechi na wanaume wa mikoani si tutawatia mabao mengi tuu kama zanzibar heros walivyowatia kilimanjaro stars
 
Dar dili kula na kuuza sembe ndo mnaweza
 
Wanaume wa mikoani wanatumia akili na nguvu inapohitajika ila wa dar maisha yakiwashinda wanakuwa WAKINA JAMES DELICIOUS
 
Ngoja nikale zangu silesi mbili na nusu soseji nikalalale
 
Wa mkoani Niko hapa[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Ngoja kwanza nipake Grisi chuma changu kisha nirudi
 

Wanaume wa Dar mnatia aibu sana, huku mikoani mashamba yako bwerere mnayaacha na kukimbilia kuokota makopo jijini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji87] [emoji87] [emoji87] aiseee we nomaaaa
 
Zaramo men are very soft, you can't compare with gentlemen from Simiyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…