Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
π€ π€ π€Mabonge wengi ni kama hata akili zao hazipo sawa
Kwa mtazamo wako huu,unafikiri huo ushauri wako watauelewa?Mabonge wengi ni kama hata akili zao hazipo sawa,
π€£π€£Hiyo kwenye ubonge na uzezeta kama inaingia hv
Mbinu yako nimeijua.Ngoja huu uzi niutumie kama research ya kuwajua mabonge wa JF
ππ
Wanakwambia hawatekwi kirahisi,si unakumbuka kuna bongo mmoja sijui mbagala ileIla mwanaume kunenepa kupitiliza kweli sio ishu.
Umeshindwa mazoezi basi jitahidi kubalance ulaji wako